Nilikuwa napenda Kuwatambulisha Kwenu Blog mpya ya Rural and Urban ambayo itakuwa ikizungumzia maisha hayo zaidi ya mjini na Vijijini. Karibuni sana ukiona Link hii mpatie na mwengine. Natanguliza Shukrani zangu asanteni.
-ESTER ULAYA.
Baada ya tamutamu hebu Bassekou Kouyate na Ngoni Ba waendelee....
Hebu tu tena na Chuck Brown arudie tu na -BUSTIN' LOOSE
....ukianza na HALAFU ili kunasa yasiyo na HALAFU,....
... kuna wawezao kuona kuna zaidi ya HALAFU katika uyaongeleayo yasiyo na HALAFU.:-(
Swali:
AU?
Ndio,... ...HALAFU,...
.... si inawezekana yenye HALAFU hata uyasemayo au tu kuongeayo ni yale tu UYANUKUUYO kutoka kwa MTU mwingine bila kufikiria katika uhakika wake kuwa hata katika ya Rais OBAMA hajikojolei kitandani kama BIBIE au BABUYE na ushahidi huna kama yale ya kuwa mafuta ya CHIPSI MAYAI ni yatokayo kwenye transfoma za UMEME mtaa wa jirani yana HALAFU ?
HALAFU,....
.... udhaniacho nimeandika,....
.... labda kimaana kuna HALAFU Mkuu!:-(
Ni wazo tu HILI Mheshimiwa!
Hebu turudi HAITI ili Rasin Kita wakite....kijina la wimbo tubakie na ....-DI MOVE
....hata kama YASEMEKANA kuna KATIKA wapatao ambao WAPATACHO WATHAMINISHO ni mpaka demu/KIJEBA na wala sio OFISI tu, dengelua ,kashata, chipsi mayai,tako, sehemu za mbele za mwanamume rijali ,Ubunge kisa wametoa mbele na nyuma, OFISI kwenye shirika fulani ILIPAYO SANA TU, au hata tu BAMIA tu kwa MLENDA kisa CHUNGA hakuna.:-(
Swali:
Si unajua ingawa MISHEMISHE kitafsiri FULANI mtaani ni MISHENI TAUNI -lakini labda MISHEMISHE ni zaidi -na ndio maana siku hizi wajanja wana mpaka na MAKANISA KIUJASIRIAMALI ingawa YESU sio rafiki yao?
Si ikibidi KIMISHEMISHE - ndio maana WALIOBANANA kwenye DALADALA kule kwa kajamba nani kuna wastukiao KUNA wenye nafasi mbele kwa DEREVA bila sababu maalumu ?
Ndio,....
....Labda BINADAMU WOTE si sawa,..
... kwa kuwa,....:
Kwanini WENGINE wafananao na SISI bado wako kama sio kama SISI na wao kidogo tu KWA SABABU HIZOHIZO hata UBUNGE majirani zako watawapigia kura wao ingawa wanajua wewe kama MIMI labda ndio kitabia ni WATOTO MZURI KIBANANGENGE kijijini hapo?
Unabisha?
Ndio,...
.... kimishemishe wewe kama ni angalau ni mjukuu wa NYERERE hata kwa kujisingizia pale karagwe iitwayo TANZANIA,...
.... labda wewe tayari sio MWENZETU kwa kuwa KIMISHEMISHE wewe hata kama hutaki waweza kuishi bila kazi na usife njaa na fulu kuongeleshwa na kama unapenda sehemu za siri za watu labda utagawiwa na hata wasio kupenda kisa jina,...
....eti kwa kuwa KUNA wathaminio wajuacho hata ufanye nini ,...
WEWE uko konekted hata bila kuhonga kama tu watoto wasio wa MORINGE SOKOINE Ze BONGO!:-(
Swali:
Hivi unauhakika KUNA MTANZANIA sasa hivi hajawahi kuhonga angalau hata chumvi ili agawiwe MAPERA?
Samahani,...
...mie nakiri nshawahi kuhonga kupatiwa mpaka kipenyo kidogo tu kiitwacho UKE,...
.... nimejirekebisha LAKINI!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA! JUMATANO NJEMA MHESHIMIWA!
Hebu turudi tu nyuma ya jukwaa na wanamuziki wa TANZANIA halafu Nguli John Kitime aongee...
Halafu sijui kwanini hebu DEKULA arudishe za enzi ndude katika-Mayanga
.... hata kwa ambaye hitaji lake la kweli kwa kihitajikacho ni NGUNA na MLENDA.
Swali:
Unauhakika UNAHITAJI ufikiriacho kwako ni HITAJI?
Si unakumbuka kuna mahitaji watu hujifunza tu kuyachukulia kuwa HITAJI yasemekana?
Na UKIHITAJI UGALI na ukapata UGALI - si uleule UGALI yasemekana unakuwa MTAMU zaidi kitofauti?
Na katika GONJWA la HITAJI,....
....kuna WAHESHIMIWA hubaka kuku,...
... kisa wamegeuza kitu HITAJI,...
.... na kihitaji fulani MTU akiamini ndilo HITAJI,....
....labda ndio maana WATU huwa na mahitaji tofauti hata kama wako kwenye CHAMOTO KILEKILE,...
..... na labda ndio maana katika ``CHAMOTO UNAKIONA KILEKILE kwenye MAISHA´´ yasemekana kuna wamkimbiliao YESU, MOHAMEDI, au hata MGANGA WA KIENYEJI hata kwenye hoja ambazo wangeweza kujitetea wenyewe bila NUKUU za MWALIMU NYERERE alisemanini kuhusu HILO kama tu jinsi ambavyo kuna wachaguao KUFA MOYO na kusubiria tu litokealo na LIWE!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWAna USIKONDE!
Hebu KANDA BONGOMAN arudi tena na kuanzisha upya kwa-JT
Halafu sijui kwanini ngojea KANDA BONGOMAN arudie-Wallow
.... inawezekana kuna wake za watu ambao MME kageuka BABA na wala sio MPENZI wala rafiki,....
..... kama tu isemekanavyo kuna MIDUME kwa MKE inadeka kama MKE ni MAMA na sio limpenzi!:-(
Swali:
Unabisha?
Ndio,.... .....UNACHOTAFUTA,.....
...... saaa nyingine unaweza kuwa unacho ila umekigeuza na wakummtongoza umemgeuza DADA au KAKA ambayo ni hatua ya mbali zaidi ya ile BINAMU nyama ya HAMU!:-(
Swali:
Unabisha?
Ndio,... ......UNACHOTAFUTA,....
.... saaa nyingine unaweza kuwa unakitafutia kwenye FIRIGISI wakati kiko kwenye MCHICHA ambao UNAO.:-(
Swali:
Unabisha?
Unauhakika kwako BABA ni BABA, Mama ni MAMA na RAFIKI sio PADRE kama HAUSIGELI /Hausiboi alivyo kisiri ni MPENZI?
Ndio,...
.... kuna wageuzao ,....
..... ambacho KIPO hata kifudifudi MBELE ZAO!:-(
Ni hilo tu na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu Bassekou Kouyate arudishe mdinyo - Segu Blue
Halafu ghafla The Commodores warudishe tena kile kitu fanki kile - Brick House
Halafu The Temptations watubakize kwenye fanki na kuzima tena kwa -Shakey Ground