Showing posts with label Kumbukumbu. Show all posts
Showing posts with label Kumbukumbu. Show all posts
Je unajua tofauti ya KIFARU Mweupe na KIFARU Mweusi?(WHite RHINO &BLACK RHINO)
>> Wednesday, June 20, 2012
Ndio hawa NGULI ,...
.....wote wana rangi sawa ,...
.......na tofauti ni MIDOMO tu kwa hiyo usitishike na majina!
Hebu jikumbushe basi hawa NGULI,...
... hata ki -WIKIPEDIA
![]() |
Domo bapa |
Lebo:
Kumbukumbu,
Mtonesho
The name is BOOTSY baby!
>> Sunday, June 17, 2012
Nipo!:-(
Ndio STING alikuwepo.... hata kwa ..
-SHAPE of my HEART
Alidinyapia -Englishman in New York
Au tu hebu Bootsy Collins aingilie kati tena kwa pini - I'd Rather be with you
Au tu Da Brat alainishe kwa kunikiria kuwa leo niko -Funkdafied
Lebo:
Kumbukumbu,
Mmmmh,
Ujinga,
UjingaBUSARA,
Wow
Namuachia NINA SIMONE!
>> Monday, June 04, 2012
Feelings!
Lebo:
Kumbukumbu,
Mmmh,
Mmmmh
Maisha yana SAFARI zake!
>> Thursday, May 17, 2012
Enzi fulani ,...
...eti hawa walikuwa ni MAMA, BABA na MIMI!:-(
Hebu ghafla THEM MUSHROOMS waingilie kati kwa-MTOTO SI NGUO
SNOW aingilie kati kwa -Lonely Monday Morning
Halafu SNOW ajaribu kuzima kwa -Informer
Ila tu Naughty by NATURE ndio wazime kwa -FEEL me FLOW
Read more...
Lebo:
Kumbukumbu
Katika kukumbushana ya KABUMBU la Uingereza....
>> Friday, February 24, 2012
.... hebu CLYDE BEST aongee....
Hebu tupunguze makali kwa msaada wa YAMI BOLO enzi hizo -Wadat 1984
Read more...
Lebo:
Kumbukumbu
Katika kumbukumbu:JHIKOMAN na MIMI!
>> Sunday, November 13, 2011
![]() |
Jhikoman na MIMI |
Nimekumbuka tu kitu leo,...
..... ambacho Brother JHIKOMAN na MIMI tokea enzi tunasoma MOROGORO SEKONDARI kilikuwa kinatuunganisha.
Hebu JHIKOMAN aanzishe upya kwa-Nyerere
JHIKOMAN aingizie -Moyo Unadunda
Halafu hebu tu JHIKOMAN aongezee- KUAGANA
Halafu azime kwa-SET ME FREE
Read more...
Lebo:
Kumbukumbu,
Mtonesho
Unamkumbuka CARLOS the JACKAL?
>> Monday, November 07, 2011
![]() |
Carlos the Jackal |
Kuna kipindi ilikuwa ukiongelea maswala ya ugaidi au hata ya ``Terrorism´´ jina lake lilikuwa maarufu kuliko Bin Laden maeneo fulanifulani .
Naona anakesi mpya tena huko UFARANSA huyu jamaa iliyoanza leo.
Jikumbushe kama umemsahau huyu Ilich Ramírez Sánchez aka Carlos the Jackal.
Katika kujikumbusha zaidi kiaina kisimulizi za Wamagharibi kuhusu Carlos,...
Lebo:
Kumbukumbu
Katika kumbukumbu: MALCOLM X
>> Sunday, October 30, 2011
You Are Afraid To Bleed
Wake up, Clean up and Stand up!
Daka udakacho!
CHUKUA UCHUKUACHO!
CHUKUA UCHUKUACHO!
Na ni kumbukumbu tu hii MHESHIMIWA,...
Read more...
...na usikonde!
Lebo:
Kumbukumbu,
Mtonesho
JUSTIN KALIKAWE -katika KUMBUKUMBU
>> Saturday, October 29, 2011
.....JUSTIN naweza kusema ni Mwanamuzi pekee wa Reggae za Kibongo ambaye aliyewahikukubalika sana mpaka na wasiopenda Reggae nyumbani Bongo Nyoso enzi hizo na nahisi hasa ni kutokana na aliyokuwa anaongelea.
R.I.P NGULI!
Ndio tupo tusiokusahau KAMANDA!
Hebu tujikumbushe,..
UGENINI
Kitendawili
Panapofuka
Noijuka
Credit ya picha KIBIRA FILMS
Read more...
Lebo:
Kumbukumbu
Katika KUMBUKUMBU: Hotuba ya January Makamba kijijini Tamota.
>> Wednesday, October 19, 2011
Lebo:
Kumbukumbu
Leo moja ya kilichozungumziwa katika pitapita zangu:Mormon religion and its roots.
>> Tuesday, October 18, 2011
Lebo:
Kumbukumbu
Leo katika kumbukumbu:EUGENICS
War on the Weak: Eugenics in America
Dr. William Shockley on Race, IQ, and Eugenics
Eugenics
Kuna wadaio BILL GATES na misaada yake aangaliwe pia kwa jicho la waangaliao wanaoshabikia EUGENICS ,....
....Depopuation: Bill Gates And His Eugenics Lie
Kama umesahau kuhusu hii NDUDE kwa jina EUGENICS ambayo ilitumika sana na HITLER pia katika kuamua ni WATU wa aina gani wanafaakuruhusiwa kutengeneza MIMBA ,...
.... unaweza kuigoogle tu au BOFYA,..
...HAPA
JUA kitu,...
... kama unataka kukabili KITU.
Ni hilo tu MKUU!
Read more...
Lebo:
Kumbukumbu
KATIKA KUMBUKUMBU:Tam Tam pour L'Ethiopie
>> Thursday, October 13, 2011
Mwaka 1985 ,...
....akina Lema Adé ,Hugh Masekela, Manu Dibango, Mory Kante, Salif Keita, Toure Kunda, Youssou N'Dour, King Sunny Ade, Yves N'Djock,....
... na wengine wengi walishuka na ndude kadhaa kinguli ikiwemo hii,..
.....katika kuchangia Ethiopia iliyokumbwa na NJAA kipindi hicho.
Ni kumbukumbu tu hii KIBOSILE na wala USIKONDE!:-(
Read more...
Lebo:
Kumbukumbu
Subscribe to:
Posts (Atom)