Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo katika kumbukumbu:EUGENICS

>> Tuesday, October 18, 2011

War on the Weak: Eugenics in AmericaDr. William Shockley on Race, IQ, and EugenicsEugenicsKuna wadaio BILL GATES na misaada yake aangaliwe pia kwa jicho la waangaliao wanaoshabikia EUGENICS ,....

....Depopuation: Bill Gates And His Eugenics Lie
Kama umesahau kuhusu hii NDUDE kwa jina EUGENICS ambayo ilitumika sana na HITLER pia katika kuamua ni WATU wa aina gani wanafaakuruhusiwa kutengeneza MIMBA ,...
.... unaweza kuigoogle tu au BOFYA,..
...HAPA

JUA kitu,...
... kama unataka kukabili KITU.
Ni hilo tu MKUU!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP