Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mh Naibu Balozi Wa Uingereza Amvisha Pete Mchumba Wake

>> Tuesday, October 25, 2011

Mr Chabaka akitoa pete
PETE ambayo ni Diamond ya Ukweli
Wachumba wakiwa na baadhi ya marafiki zao na familia
Wapenzi wakiwashukuru wageni waalikwa
Salam,


URBAN PULSE CREATIVE inawaletea picha ya sherehe fupi ya Uchumba iliyofanyika Jumamosi Tarehe 22 Oktoba 2011 kati ya  Naibu Balozi wetu Mh.Chabaka na Bi Irene. Sherehe hii ilihudhuriwa na baadhi ya ndugu pamoja na marafiki wa karibu waliojumuika kwa pamoja kushuhudia tukio hili muhimu katika safari yao ya kuelekea kwenye ndoa.

Vazi alilovaa Bi Irene limebuniwa na kutengenezwa ramsi na Anna Lukindo. Tarehe na pamoja taratibu zote za harusi zitatolewa rasmi muda muafaka utakapowadia
Hivyo basi Urban Pulse Creative na Miss Jestina George tunapenda kuwapa hongera na fanaka katika penzi lao na maisha yao ya baadae, Mungu Awabariki.


Asanteni,
URBAN PULSE CREATIVE


Nimetumiwa na:
Frank Eyembe wa Urban Pulse Creative
Hongera zenu jamani!
-Simon Kitururu

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP