Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ukiremba SWALI unaweza kupata JIBU ulitakalo!

>> Thursday, October 27, 2011

NDIO,...
....LABDA pia,...
.... kwa kurembesha SWALI,...
.... .... maana yake MTU anajua atakalo JIBU

Swali:

  • Na si labda UMESHASTUKIA hata katika KURA ZA MAONI a.k.a OPINION POLL mahitimisho mara nyingi ni DANGANYIFU kwa kuwa maswali waulizwayo WATU yameundwa kutaka JIBU lioane na atakacho kiwe ndio JIBU mtafiti adaiye anataka kujua WATU wanawaza nini katika hiyo OPINION POLL aka KURA YA MAONI?

Ndio,...
....labda CCM , CUF na CHADEMA wanaweza kufagiliwa SAWASAWA katika KURA za MAONI ya WATU WALEWALE WATANZANIA ukigeuza tu MASWALI!:-(

Ni mtazamo kiwazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu Jamhuri Jazz Band warudie-Oh Masikini


Au tu tena Jamhuri Jazz Band warudie na- Shingo La Upanga3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:51 pm  

mmhhh!!

sam mbogo 2:25 pm  

Mtakatifu,kwa hakika ni ngumu sana au hata nimarachache/wachache wanao weza kufanya kitu bila kuwanafaida kwao,na kionekane kinafaida kwa hao wengine. mifano uliyo toa,ni ushahidi tosha wa muwamba ngoma huvutia kwake. ili usipate jibu ulitakalo unabidi uwe mkweli , katika kila jambo ambalo wewe unafikiria bila kuremba waweza kupata mjibu ambayo kwako huku yategemea. mfano ,wa vyama vya siasa ni ngumu hatasikumoja chama au serikali kufanyakitu ambache chenyewe hakifaidiki.. nandiyomaana wahenga walisema miluzi mingi ilimpoteza mbwa.kaka s

SIMON KITURURU 7:52 pm  

@KAKA S: Nakubaliana kabisa na mtazamo wako!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP