Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

JONAS SEGU na DEO NJIKU wapima uzito kwa ajili ya KUZIDUNDA JUMAPILI HII MOROGORO.

>> Saturday, October 22, 2011

Bondia Deo Njiku wa Morogoro akipima uzito uwanja wa Jamuhuri leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania
ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho..

Kushoto ni mpinzani wake Jonas Segu na promota wa mpambano uo Alifa Kipao..


( Picha na HABARI www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Kocha wa mchezo wa ngumi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D Boxing Coach' katikati akiwainua mikono juu mabondia Deo Njiku wa Morogoro kushoto na Jonas Segu wa Dar es salaam baada ya kupima uzito katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBO) utakaofanyika kesho jumapili.

(Picha na habari : www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Nimetumiwa PICHA na HABARI na:

Super D Boxing Coach
Photojournalist at Majira, Business Times
        +255774406938
        Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP