Katika jitihada za kutofautisha WATU na WANYAMA PORI wakati bado LIBYA iko MAWAZONI!
>> Friday, October 21, 2011
Kuna wakati wanyama wanaeleweka ni kwanini,...
... wanafanya wafanyavyo hata kama wafanyacho KIBINADAMU ni unusaji wa bonge la kinyeo.:-(,...
Hebu tuwadeku na kushuhudia kielewekacho,....
Na WANADAMU na UTASHI wao,...
.... kuna waelewao labda na kutetea kuwa kifanyikacho na WANADAMU mara kibao ni UTU kwa kuwa wafanyao ni WATU na sio UNYAMA kwa kuwa kuna vigezo watendao wanaongea na kuvaa chupi na suruali kama sio sketi huku wakijiita WATU kwa kuwa wanadai wanaakili kuliko WANYAMAPORI wanajua hata KIMANENO kuwa MATUSI akitukana Simon Kitururu NI NINI ingawa kiutu ukifikiria unaweza kutokwa ladha ya CHAKULA kama kitendwacho na WATU KINYAMA kimdhuruye ni wewe ,....... hebu tu tutembelee nchi ya ZANZIBAR iliyo jirani na TANGANYIKA kupata kifungua kinywa kwa kuwa kinapanda na atendwaye unyama sio sisi ,...
...na kwa Breakfast kutoka Zanzibar tupate,...
Kachumbari tupatie IRAN
Dina ya Mchana kiaina tupatie huku huku IRAN
Kianzio cha dina ya usiku twende Iraki kuchekelea Mtu anauawa:-(
Dina yenyewe kwa furaha za kibinadamu tupate Libya wakati bado ya moto,...
Ndio,...
... kimkao fulani labda ,...
...TOFAUTI ya WANYAMA PORI na BINADAMU ,...
... kiutu WANYAMA PORI wanaeleweka KIRAHISI na wafanyayo yana UTU kuliko WATU!:-(
Swali:- AU?
- Si unakumbuka kunibishia RUKSA?
Na ni wazo tu hili MHESHIMIWA wala USIKONDE!
Na labda tubadili wazo tu HILI NYOMI KIHUZUNI -``sasa tutafanyaje!?´´...
..... kwa ndude ``Napenda matako makubwa a.k.a Baby got back ´´,.....
.....kama idadavuliwavyo kibinadamu na -Sir Mix-A-LotHalafu au tu Tone Loc aloki kipengele kwa - Funky Cold Medina
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment