Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tamaduni za KUCHEKELEA KANYAU kwa kuwa MTU kafa ZIPO hata kwa uliowahi kuwaona katika MSIBA mwingine wanalia!

>> Friday, October 21, 2011

Ndio,...
... labda sijawahi kuchukia vizuri MTU,...
... lakini kifo cha mtu mpaka leo hii hakijawahi kunifanya nirukeruke kwa FURAHA kisa mtu KAFA!:-(

Swali:
  • Si umestukia watu huchekelea kanyau MTU akifa  kama wakiamini wanasababu kuwa MAREHEMU ni MTU mbaya?
KIUNGWANA lakini,...
.. MAREHEMU daima  alikuwa ni MTU MZURI!:-(


Swali:
  • AU?
Naendelea tu KUWAZA!:-(


Hebu Zap Mama aanzishe upya kwa - MupepeZap Mama aanzishe kuvimbisha mtekenyo kwa- Cou CouHalafu labda Zap Mama atulize kwa - YakuKabla tu tena sijui kwanini Zap Mama hajazima kwa - Sweet Melodie


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:16 am  

Duh! bonge la wazo....kweli upo katika mawazo picha inaonyesha!!

SIMON KITURURU 1:35 am  

@Kapulya:Ukibonge wa wazo labda ni kwa baadhi kutokana na wazo walifikiriavyo WAZO.Mawazo kipicha labda DUNIANI hicho kitu hakuna pia.

AU?

Yasinta Ngonyani 5:34 pm  

Una hakika kama huwezi ukakaa na kama hapa kwenye hiyo picha ukiwaza kitu yaaani upo hapo kumbe upo mbaliiiiiiiiiiiii?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP