Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KIDUM

>> Monday, October 17, 2011BURUNDIAN MASTER DRUMMER and Singer:
...Jean Pierre Nimbona a.ka.KIDUM.......
.......NAHUSUDU tu  mambo zake ninihino kwenye ngoma.KIDUCHU kuhusu Mjamaa HUYU  angalau kimoja ya alubamu  zake kwa ung'eng'e:

This long awaited album is Kidum’s fourth offering after YARAMENJE, SHAMBA and ISHANO. It is perhaps the most acclaimed release produced by Kidum, featuring his much sought-after chart-topping hit, Mapenzi. He collaborates with Tanzanian songstress lady Jaydee in Nitafanya, Ugandan princess of song Juliana Kanyomozi (Haturudi Nyuma), Kenyan maestro Nameless (Greedy) Sara Mitaru (imara) and compatriot Frankie Joe (Kipenda roho). If you are looking for dance and melody, then you will find sumptuous amounts of zouk and blues on this album.

Hebu adatishe KAMANYOLA bila JASHO tena katika-MAPENZI


Akiwa na Juliana Kanyomozi wanyokolishe -Haturudi Nyuma
Au tu na Komandoo LADY JAY DEE waweke pia kimadangachee pini-NITAFANYA
Habari zake za zamani kidogo,...
.... bofya HAPA


NA wavuti yake iko:

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:17 am  

Kusema kweli nyimbo hizi ukisikiliza na kama kweli una mpenzi mmhhh...inaumiza kwa kweli!! Ahsante Simon .

SIMON KITURURU 11:26 am  

@Yasinta: Kweli tena usemalo , hizi nyenzo zake zinakuna kweli kipele yani ukiwa na kipele!

Yasinta Ngonyani 11:40 am  

si utani na hasa kama unampenda kwelikweli na mmmhhh naacha

sam mbogo 2:28 pm  

Unajuwa kiswahili,we acha tu,ni lugha ambayo kwa kuimbia nyimbo kina nyegelesha sana.mfano malika, nk.
nyimbo za kidum ni nzuri. yasinta ushawahi kupigwa kibuti? kaka S

Yasinta Ngonyani 2:32 pm  

Kaka S Kiswahili tafadhali...kupigwa kibuti maana yake nini? siwezi kusema ndio au hapana mpaka nijue maana yake:-)

sam mbogo 2:45 pm  

Yasinta,kibuti ni lugha ya mtaan yenye maana kuachwa na mpenzi wako/kukataliwa.na mazingira yake huwa si mazuri,jamaa au hata mwanamke anaweza kumpiga kibuti mwanaume.maranyingi huwa ni kitendo cha papo kwa papo,mfano maneno haya hutumika,chukua taimu mimi sikutaki,au mbona unajipendekeza kwangu mimi na wewe basi,nk kaka s

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP