Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa kuwa UTOTO wa MTU MZIMA ni kitu cha kuficha!

>> Thursday, October 20, 2011

Watoto eti ni MALAIKA,...
... lakini kubwa zima likiendekeza UTOTO sio tena UMALAIKA.

Swali:
  • Unamkumbuka Michael Jackson?

Ila lakujiuliza vizuri ni kwamba;.....
...Je utoto HUMUISHA Mtu MZIMA au utu uzima ni shule tu ya kumfanya MTU mzima ajizuie kufanya UTOTO?

Ndio,.,...
.....NAKUBALI,...
....kuna WADAU hunipa vidonge vyangu kuwa BLOGU hii imejaa UTOTO katika staili hii niitumiayo kuandika ya UjingaBUSARA.

Swali zaidi:
  • Je si waliozeeka sana nasikia mambo zao hurudia kuwa kama ya kitoto?
  • Kwa hiyo Je UTOTO uzeeni  ni jambo la kujifunza tena au ni swala la kutojizuia tu tena kufanya yaaminikayo ni ya kitoto ?
  • Ushawahi kuona Mzee sana mambo zake halafu yakakukumbusha Mtoto?

Ndio,....
..... labda UTOTO na UZEE  vyote ni MALAIKA.:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA na Usikonde!:-(

Hebu turudi KAMERUNI ili Sandra NKaké aanzishe tena kwa -Higher


Sandra Nkake arudie pia - I miss my land


Au tu Sandra Nkake azime kwa-H.A.P.P.Y


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 12:27 pm  

Mzee wa mawazoni!
Utakuwa mtoto hatmaye uzeeni, jipange kuchezea makopo, kutengeneza gari za maboski pia na na na naaa...

Simon Kitururu 12:51 pm  

@Rasta Mcharia: Nasikia hicho kitu MTU ukiwa na wajukuu huanza mapema sana hata kabla hujazeeka vizuri!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP