Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MPIGIE GEOFREY MWAKIBETE KURA YA MPIGA PICHA BORA WA MITINDO.

>> Thursday, October 27, 2011

Geofrey Mwakibete


Wapenzi wadau na wasomaji wa napenda kuwafahamisha kuwa Geofrey Mwakibete wa MO BLOG  ambaye amebahatika kuchaguliwa kuwa miongoni mwa washiriki wa shindano la SWAHILI FASHION WEEK AWARDS  katika kundi la Wapiga picha bora wa Mitindo.

Bila nyinyi asingefanikiwa kupata nafasi hii hivyo tunaomba tuendelee kumpa sapoti na hamasa kwa kumpigia kura GEOFREY MWAKIBETE kupitia mtandao

Asanteni kwa Ushirikiano wenu.

Operation Manager.
MO BLOG.

Regards,
--
Zainul A. Mzige,
Operation Manager,
MO BLOG,

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:01 pm  

Hongera kwa kuwa mpiga picha bora wa mitindo..na naamini utapata kura nyingi tu.

SIMON KITURURU 7:54 pm  

Kusema ukweli kazi zake sizijui sana ila namtakia mema wakati nafuatilia afanyacho

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP