Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Unachoogopa usiku GIZANI,.....

>> Sunday, October 16, 2011

... kumbuka huwa unakiogopa tu hata kwenye MWANGA pale mchana,....
.... na kifanyacho LABDA hustukii kuwa woga wako wa KITU uko palepale yaweza kuwa ni kitu kingine kama vile kuna WATU WENGINE hapo na kwa kuwa unaona vizuri kwa kuwa KUNA MWANGA na kisaikolojia uko shwari,....
... lakini hilo BADO KWA BAHATI MBAYA haliondoi kuwa AOGOPAYE MENDE wakati hakuna mende haimaanishi kwa hilo basi haogopi MENDE wakati huo.:-(

Swali:
  • SI unakumbuka apendaye UBWABWA huwa anapenda UBWABWA hata wakati UBWABWA haupo?

Ndio,...
.... labda kama UOGOPACHO ni WACHAWI na KUKABWA na vibaka GIZANI katika ule USIKU,...
... kumbuka kuwa hivyo vitu unaviogopa MCHANA PIA  kwenye MWANGA ingawa LABDA kwa kuwa kuna watu wengine LUKUKI MCHANA PEMBENI YAKO  na pia kwa kuwa UNAONA VIZURI kwenye MWANGA na kujisahau ugopavyo kwa kuwa huvioni kwenye mazingira ya VIONEKANAVYO mchana,...
... labda usisahau tu kuwa KUJISAHAU unaogopa DUDU  haimaanishi kutokuwepo kwa  WOGA WA dudu   kwa MTU  HUYO ambaye bado labda ni WEWE  kumefutika.:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu Muddy Waters aanzishe kwa-Mannish Boy (I'm A Man)John Lee Hooker adai - I'll Never Get Out of These Blues AliveJimi Hendrix aingilie kati kwa -Crosstown trafficAu tu hebu Jimi Hendrix azime tena kwa - All Along the Watchtower


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP