Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KIFO cha BATA kwa KUKU,...

>> Sunday, October 30, 2011

.... kinaweza kutopewa UMUHIMU au HATA  tu HUZUNI kwa kilo za kutosha na KUKU,...
.....ingawa KIUACHO BATA  labda  kina mchezo wa KUDEDISHA KUKU PIA  ,...
.... na tena kwa sababu ZILEZILE!:-(

Swali:

  • Si  kuna wasiojali JIRANI  kaibiwa  kisa hawajaibiwa WAO?


Ndio,...
... kifo cha KUKU  kwa kuugua MDONDO,...
.... labda kikudedishwa ndege ,...
... chaua BATA pia!:-(JUMAPILI njema KAMANDA,...
..... na  kumbuka ni wazo tu hili  BINGWA!

Hebu Andy Narell aanzishe upya  kwa - Down de RoadRAY C akiwa na FRENCH BOY alaininshe siku kwa - Moto moto

RAY C aongezee- Na Wewe Milele
Smokie Robinson abadili mchezo kwa-The Tracks of My Tears

Mariah Carey akatizie denge tena kwa-I Want To Know What Love Is


Halafu FELA KUTI azime tu tena kwa-Gentleman4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:10 pm  

Jumapili njema Mtakatifu. na ahsante sana kwa nyimbo hasa hiyo ya mwaka 1973 na nataka kuwa na wewe milele:-(

Goodman Manyanya Phiri 4:44 pm  

Je, wasema umoja, badala ya ukabila, ndio nguvu, Mkuu Simon?

Wacha basi nikubaliane nawe 100%!

SIMON KITURURU 4:52 pm  

@Kapulya: Asante mtu wangu na uwe nawe na siku mwanana!

@Mkuu Goodman: Ndio MKUU ,.. unajua kuna wanaofikiri kwa kutenga na kujiona tofauti ,... janga la wote haliwakuti!:-(

Mcharia 11:09 pm  

Kumbe ndio maana!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP