Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kila KIGUNDULIWACHO kikiwekwa kati kitafiti,....

>> Wednesday, October 12, 2011

 ... kina uwezo  wa kuwa na U-HASI  na pia  U-CHANYA,.....
.... hata  kama  JICHONI  mwa MTUZFULANI   kimtazamo kimeegemea UPANDE MMOJA  TAYARI ambao  huwa ni CHANYA  ,vuguvugu au HASI tayari kiaina.:-(

Swali:
  • Si inajulikana kuna WAGUNDUAO hata kitu CHANYA  MAISHANI MWAO kama vile MUNGU   kupitia kitu  kijulikanacho kwa U-HASI kama KUUGUA GONJWA hasi au tu KUCHACHA?
 Ndio,...
.... SHILINGI  inapande mbili,...
.... na labda KUMBUKA  TU upande mmoja wa shilingi  kikitu  huweza kuwa bado na vipengele vingi vyenye pande nyingi kimtazamo na tafsiri!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(



Hebu N.W.A wanzishe tena kwa -Express Yourself




Public Enemy waendeleze kwa - He got game




Halafu sijui kwanini hebu Charles Wright ,..
... arudie tu tena kitu  kwa -Express Urself

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP