Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Na kwa kuwa LEO yaaminika ni JUMATATU kwa wengi!

>> Monday, October 24, 2011

Kumbuka tu kuwa,....
... KALENDA ifanyayo jana ni JUMAPILI na juzi ilikuwa ni JUMAMOSI,....
..... ni kitu kilichotungwa tu na WATU kama WEWE,...
...... kitu kifanyacho labda bado kama tu enzi za mababu zilizokuwa hazifuati KALENDA hizi,...
...JUMATATU HII kwako ni JUMATANO ya mwaka jana kwa mwingine.

Swali la kizushi:
  • Unakumbuka KIISLAMU leo ni MWAKA gani?

Ni angalizo tu hili MHESHIMIWA na usikonde!:-(


Hebu BILAL aanzishe upya kwa-FREE



Nottz aingilie kati kwa - Shine So Brite



Shafiq arudi na Bilal katika pini- Cheeba


Nottz na Bilal warudi tena kwa- Right Here


Au tu tena Amerie azime kwa - 1 Thing


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:05 am  

Duh! hakika katika kuwaza nakupa pongezi kwani sikuweza kabisa kufikiria hivi. Na inawezekana leo si jumatatu ni jumapili labda:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP