Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

NGUVU ya MTU MMOJA katika ya HELKOPTA:Igor Ivanovich Sikorsky

>> Thursday, October 13, 2011

Kuna wengi husahau  kuwa ,...
....LABDA ni  MCHANGO wao kama mtu MMOJA,..
... ndio siri ya  JIBU kwa maswala yasumbuayo ULIMWENGU.

Na  ukisikia stori za watu kama STEVE JOBS,Thomas Alva Edison,Henry Ford, Albert Einstein, Mwalimu Nyerere, MANDELA, na wengine wengi,....
... unaweza kustukia ni JINSI GANI mtu mmojammoja pia kimchango wake anaweza kuwa chachu yakutosha .

LEO hebu tumcheki :
... katika-Sikorsky: Father of the helicopter


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:01 pm  

mmmhh!!

Nje ya mada TAFADHALI NAOMBA NTAFUTE NINA MAAGIZO YAKO NA NI MUHIMU AU SOMA MAIL.

Simon Kitururu 4:41 am  

Nimepata ujumbe Kigoli Yasinta.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP