Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

EMU THREE na DIARY YANGU --Akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli-40

>> Saturday, October 22, 2011


Adamu alibakia kwa muda ameshikilia simu mkononi, utafikiri bado anasubiri kuongea na huyo mtu aliyekwisha kuongea naye karibuni, lakini walikuwa wameshamaliza kuongea, ….kilichomfanya aduwae kwa muda ni hzio taarifa alizozipokea kwa huyo aliyempigia simu, …ilikuwa kama mtu kamtonesha kidonda kilichokuwa kimepona…Hakuamini kabisa kuwa Rose kawa na mwanaume mwingine, …

...ENDELEA na stori tamutamu ,...
HUKU ,...
... ambako ndio KIJIWENI KWAKE huyu NGULI .

NI HILO tu MKUU!


Tukiachana na hilo ,...
... kimselebuko tuendelee,...
... tu na  Linton Kwesi Johnson aanzishe upya kwa ushairi -More time


Linton Kwesi Johnson aulizie tena - Want Fi Goh Rave ?Linton Kwesi Johnson akumbushie - It Dread Inna Inglan


Linton Kwesi Johnson aongezee kukumbushia - Sonny´s Lettah


Mutabaruka aingilie kati nakuongelea tena -Dis PoemMutabaruka apandishe dozi jazba kwa -It no GOODGregory Isaacs alainishe kwa - Out DehHalafu huyu huyu  Gregory Isaacs ajaribu kuzima kwa - Good Morning


Halafu tu eti  Barrington Levy ndiye azime kwa - Black Roses

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 2:40 pm  

Mkuu sikuiona hii,...siunajau tena kama huna jembe huwezi kulima. nashukuru sana tupo pamoja

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP