Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Na ni kweli LABDA hakuna AHITAJIYE kiongozi katika safari ya kwenda CHOONI!

>> Tuesday, May 31, 2011

SwaLi:


  • Kwani unafikiri SAFARI ya viongozi wetu AFRIKA ni yakuelekea CHOONI au SEBULENI kwenye ubwabwa?


Katika AFRIKA ambayo imejaa VIONGOZI watakao tu kuitwa VIONGOZI ,...
.... huku tukijiuliza kuwa pamoja na NIA na MADHUMUNI yao ni kuitwa VIONGOZI labda huwa hawajafikiria kuwa KUONGOZA ambako kunaambatana na jina ``KIONGOZI´´ ni NINI,...

... labda WAONGOZWAO inabidi kukumbuka tu kuwa kuna MENGI wala hayahitaji KIONGOZI ili yafanikiwe,....
.... hasa ukizingatia labda waitwao VIONGOZI kuongoza sio moja ya TALANTA waliojaliwa na MWENYEZI .:-(

Swali:
  • Kwani unauhakika VIONGOZI wako wanajua wanapeleka wapi WANANCHI au wanabunia?
  • SI inasemekana kuna wenye nia na MADHUMUNI ya kuwa tu VIONGOZI ingawa kuongoza ni kitu wastukiacho baadaye kuwa kinahitaji MTU ajue KUONGOZA na jina KIONGOZI tu halitoshi?

Ndio,...
.... labda WANANCHi inabidi wajiongoze tu katika mengi wao wenyewe,...
.... kwa kuwa ni MENGI tu labda hayahitaji waongozwe hata kama HAPA hatuongelei maswala ya safari za kuelekea CHOONI hasa kama ahusikaye sio MTOTO!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(


Hebu Banana Zorro arudie-Mama YanguMaunda Zorro arudie -NafurahiZahir Ally Zorro Feat Mr Blu na Baby Boy warudie-Fanya Vitu Vyako


Read more...

KIUNGANISHACHO watu WAWILI kwa kuwa sio GUNDI,...

..... kwa hiyo yawezekana kifanyacho kuna baadhi ya watu hapa DUNIANI ukonao karibu hata KINDUGU, kirafiki, na hata kimapenzi,....
.... ni JITIHADA ZAKO TU!

Swali:
  • SI unakumbuka BINADAMU hata wale MAPACHA huzaliwa mmojammoja KIPEKEE na kwa kawaida hufa pia mmojammoja na kwa muda tofauti angalau hata kidakika na sekunde kivyao na KIPEKEE?

Ndio,...
.... labda ukiacha KUJITAHIDI kuwa karibu na MTU,....
..... hakuna aliye karibu nawe kwa sababu kila MTU amini usiamini ,...
.... ana YAKE mwenyewe PEKEE hata wakati afanyacho huonekana kuegemea kwa ya WENGINE!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(Hebu ASWAD waingilie kati kwa-Need Your Love
Aswad waendeleze kwa -Don't Turn Around


Au tu Aswad wamalizie kwa - Hooked on you

Read more...

UJANJA kwa WENGINE ni ule wa KUKUKIMBIA wakistukia UMEKWAMA.

>> Monday, May 30, 2011

Na kitu kizuri ni kwamba,...
....

Swali:
  • SI unajua hapa DUNIANI hakuna akwamaye kwa kuwa  hata nukta ni MWANZO wa sentensi NYINGINE,...
...hasa ukiamua  kutokwamishwa na NUKTA?

Ndio,...
..... akukimbiaye,...
.... huyo kakupunguzia MZIGO.:-(
Swali:
  • AU?

Ni wazo tu hilli BINGWA!:-(

Na hebu Jabu Khanyile arudie - Umkhaya loAu hebu  tu James BROWN aingilie kati,...

Read more...

Kwa kuwa tuko WENGI ambao hatutaki TUNACHOHITAJI!

Na saa nyingine,...
... kihitajikacho ni UJI,...
..... ingawa TUTAKACHO ni chai!:-(

Na saa nyingine,...
.... KIHITAJIKACHO  ni kujamba kwa kuwa katika KITENDAWILI hata  UKIJUACHO umepewa huo MJI,...
.... ingawa tutakacho  ni KUJIZUIA kuachia ushuzi  kwa kuwa WAGENI  sebuleni bado wako HAI.:-(

Swali:
  • SI unajua UTAKACHO na UHITAJICHO labda havina UHUSIANO?


Ndio,...
...labda SASA HIVI unataka  NYAMA,...
... ingawa uhitajicho  ni MCHICHA  aisee!:-(

Ni wazo tu hili MKUU!:-(
JUMATATU NJEMA Mheshimiwa!:-(


Na hebu TLC wadinye tu  chapuchapu -Unpretty


TLC warudie - WaterfallsAU tu Aaliyah akumbushie - Try Again

Read more...

Vusi Mahlasela! DUH!

>> Sunday, May 29, 2011


Mie sisemi ,..
....ila jamaa kanitesa leo YA JANA ya juzi yake:-(


Hebu aanzishe kwa -When You Come BackHalafu-Thula Mama
Adinye-Kuyobanjani NaAtekenye nanihino-Woza
Atoneshe zaidi-Guiding StarNdio ,...
... ukicheki picha ZIFUATAZO utajua kuwa Andrew Ashimba kutoka BONGO / Tanzania aliwakilisha sana KENYE SIKU YANGU hasa kwa nyundo hii inikunayo iitwayo -WEKA MAMBONdio,...
...BADO nipo!:-(Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP