Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo hasa ni kwamba,....

>> Tuesday, May 24, 2011

..... MWANADAMU anaangalia tatizo kama TATIZO!:-(

Swali:
  • SI unajua karibu kila MTU apendacho  ni matokeo ya tatuzi la kitu kilichowahi kuonekana kama TATIZO?


Ndio,....
..... saa nyingine TATIZO ,....
.... labda ni kwa sababu BINADAMU husahau kuwa chanzo cha suluhisho tamu ni kidhaniwacho ni  TATIZO ,...
.... na kwa hiyo labda  TATIZO sio TATIZO kama litaangaliwa kama kichochezi cha tamutamu zipendwazo na watu hata kama hakitaitwa TATUZI,....
.... na ndio maana tatizo la njaa moja ya SULUHISHO lake ni UBWABWA kwa nyama ya KUKU kwa wapendao UBWABWA kwa NYAMA ya KUKU!:-(




Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu Lupe Fiasco arudie - failure



Au tu ngoja Lupe Fiasco arudie - Day Dreamin'

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 1:41 pm  

Tabia (au mwenendo) inaweza kuwa na maana vitu viwili vinavyohusiana.

Kimsingi inamaanisha: kile ambacho mnyama au mmea, binadamu hupenda kufanya.

Goodman Manyanya Phiri 6:35 am  

Usiende mbali kupata suluhisho. Kila tatizo ndani yake linalo suluhisho.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP