Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UNAFIKI kama SANAA,....

>> Tuesday, May 17, 2011

...... waliobobea kiumahiri wa UNAFIKI,...
.... labda NI WALE mtaani wadhaniwao ni MALAIKA!:-(

Swali:
  • SI astukiwaye kuwa ni MNAFIKI labda kuna kitu kakosea na ndicho kilichotoboa siri kuwa  asemayo na AFANYAYO mbele za watu ni UNAFIKI mtupu?


Katika SANAA ya unafiki,....
....labda jihadhari na waonekanao kama MALAIKA kiutakatifu!

Ni wazo tu hili MKUU!

Hebu twende UGANDA ili Maurice Kirya arudie- Misubbaawa


Tujifunze Maurice Kirya ni nani...



Au tu Maurice Kirya amwage tu hili bonge la ndude lililotuna lijulikanalo kama-If I ever

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 1:56 pm  

Kaka hebu pita hapa: http://changamotoyetu.blogspot.com/2011/05/majibu-ya-mmiliki-wa-tuzo-za-blog.htm

Au pia hata hapa:http://kamalaluta.blogspot.com/2011/05/wanaotoa-tunzo-za-bloggers-na-watoe-kwa.html

Na usiishie hapo kuna hapa pia: http://mtayarishaji.blogspot.com/2011/05/majibu-ya-mmiliki-wa-tuzo-za-blog.html

Mwisho pia kuna hapa: http://bwaya.blogspot.com/2011/05/wanablogu-wanasemaje-kuhusu-utaratibu.html

NINA UHAKIKA HAUTAKOSA LA KUSEMA KULINGANA NA UTAKAVYOLITAZAMA JAMBO LENYEWE.

Simon Kitururu 1:43 pm  

@Rasta Mcharia: Nimepita tayari na nafikiri ntachangia muda si mrefu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP