Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika UCHOJOAJI kujiamini kunaweza kuharibu ujifunzaji wa MCHOJOAJI wa kuchojoa VIZURI!:-(

>> Tuesday, May 03, 2011

Katika KUJIAMINI,...
... inasemekana  kuna kujiamini pia kwa ambaye labda hajafudhu  kufikia kiwango ambacho kwa KUJIAMINI haathiri angalau motisha ya kuendelea kwa BIDII kujifunza kitu!:-(


Swali:
  • Unabisha?

Na inasemekanao  kwa MTU hata katika yale ya KUCHOJOA,..
....kuna ambao HUJIAMINI  kabla ya WAKATI au tu kabla ya KUFUDHU uchojoaji,...
.... na hicho kikafanya asahau kuendelea KUJIFUNZA kuchojoa!:-(

Swali:
  • Unabisha?

Na  kujiamini kupita kiasi kama tu KUJIAMINI kabla ya kufikia kiwango maridhawa,...
... yasemekana huweza kusababisha mpaka ile siri ya kwanini  hata kwa kujipinda  katika majaribio  ya kuingia ndani zaidi,..
... bado aliyejiamini kabla hajawa masta wa SHUGHULI kujikuta wamshuhudiao wana muona anachezea kwa juujuu tu!:-(

Na ni wazo tu hili NGULI!

Hebu Ray Charles ambaye anachezea sana saundi back ground leo tokea niamke adai-Heaven help us all


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:50 pm  

KUJIAMINI:-( Vipi Mtakatifu bado upo Sweden?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP