Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama MTU ni miongoni mwa WALE wachukiao UTAMU wa kitu kabla ya KUJARIBU angalau kuonja kwanza KITU !:-(

>> Friday, May 06, 2011

Ingawa kuna WADAIO kuchukia KITU kabla HAWAJAJARIBU,...
..... ila inasemekana ,...

...KAMA hujaonja UNACHOCHUKIA,...
.... basi labda chuki zako hizo za kitu ,...
....ni za KUDHANIA TU!

Na ukidhania UNACHUKIA;...
.... unaweza mwisho wake UKAAMINI unachukia kitu ,....
.... hata kabla ya KUONJA!:-(

Swali:
  • SI na kuna vitu vingine vitamu  kwa kuviangalia  au ukisimuliwa  vinatoa  nini siku nyingine unaweza kusikia kinyaa?
  • Kwani  ni nasikia labda UISLAMU ni bomba tu hata kwa WAKRISTO kama WAKRISTO wakiujaribu UISLAMU kabla ya kuuchukia bila kuujaribu?
  • SI na toto la KIAFRIKA jeusi ti labda  bado tamu  kwa MWEUPE PE  anayelichukia kama likijaribiwa  kabla ya kuchukiwa tu kirangi?


Na kama hujajaribu CHUNGU,....
..... yawezekana CHUNGU ni tamu,....
... ingawa bado sishauri ujaribu kila kitu kwa kuwa yasemekana moja ya siri ya MLIWA TIGO    umjuaye ni MTOA JICHO  ni kwa kuwa katika kujaribu alijaribu mpaka kutoa jicho!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMMIWA!:-(


Au tu hebu FELA KUTI abadili kwa kudai - OBSERVATION IS NO CRIME



Sasa ntafanyaje? HEBU Fela Kuti adinye tu na - Trouble Sleep Yanga Wake Am

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP