Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika KUIGILIZIA bashasha!

>> Sunday, May 01, 2011

Ndio,...
....LABDA ni KWELI,...
... kuna mambo MENGINE ,...
...... HAYAIGIKI,...
.... ingawa katika KUIGA inawezekana kuna watakao DAI walitoa kopi kwa asilimia mia katika KUIGA kwa kuwa walivyoiga kwa kuwa vinafanafana na kitu orijino NA KWA HILO  wanafikiri    katika kuiga   kwao WAMEIGA na kupatia!:-(

Ndio,...
... labda  katika KUIGA,...
... kuna wapatao FULU maksi,...
... ingawa ukitafuta makosa ya kuiga kilichoigwa kina TOFAUTI tu hata kama kinafanana na ndude ORIJINO.:-(

Swali:
  • Unabisha?
  • SI kuna wanaodai kama YULE  kuwa  KOPI na ORIJINO vyaweza kufanana hasa kama jicho la aangaliaye si la KITAALAMU katika mchungulio?

Na ingawa kuna wafikiria katika kumuigilizia MARIJANI RAJABU ,...
.... kuna hata KISAUTI afananaye kama MARIJANI RAJABU,...
... labda kumbuka tu cha KUIGILIZIA ni cha KUIGILIZIA tu  kwa kuwa bado ukweli uko palepale kuwa MARIJANI RAJABU  kimshawasha atabakia kuwa ORIJINO ki MARIJANI RAJABU!:-(

Na hili ni WAZO tu MKUU!:-(


Hebu basi MARIJANI RAJAB adinye-Ewe KIJANA



Tony Tuff aingilie kati na kudai-Mix me DOWN



Pharrell na Jay Z watulize tu nao kwa -Excuse me Miss



Ndio,...
... bado nipo Sweden....:-(




















































































4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 9:03 pm  

Hahaaaa yaani wewe umekuja Sweden bila kuwataarifu wenyeji zako?

Simon Kitururu 9:54 pm  

@Edna: :-)

Unknown 7:35 am  

NANUKUU
Swali:

* Unabisha?
* SI kuna wanaodai kama YULE kuwa KOPI na ORIJINO vyaweza kufanana hasa kama jicho la aangaliaye si la KITAALAMU katika mchungulio? MWISHO WA KUNUKUU.

Na Ole wako hiyo suti ukiianika kwa kamba NJE...nakufuatilia bado.

Labda na mimi NiTaiGiZa BASHASHA za Sweeden.

Simon Kitururu 7:08 am  

@Rasta Mcharia: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP