Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda PAKUA mapenzi UJISIKIAVYO kama penzi ni kweli ni LAKO!

>> Wednesday, May 04, 2011

Ukifunzwa upakuaji PENZI hata kama ni kwenye Kitchen Party,..
... inawezekana upakuavyo PENZI itakuwa sio kivyako,..
... na hata utoaji wako wa busu itakuwa ni ufundi tu wa wataalamu wengine wakutoa denda na WADHANIAVYO tu wengine kuwa ndio ilivyopoa kutoa ujumbe umejifikia mwenyewe  kwa limtu ulipendalo ambalo  labda LIMTU LENYEWE sio utamaduni wake huo  wa  taarabbu zake za KIAFRIKA katika kuonyeshwa KAPENDWA,..
... hasa labda kwa kuwa  kwake ili ajue KAPENDWA kweli  kuchemshiwa magimbi , kuchemshiwa maji ya kuoga, kuachiwa kiporo cha wali na maharage kwa ajili ya brekifasti  au tu mara mojamoja kupewa tako ndio kwake kipimo cha KUPENDWA !:-(



Swali:
  • Unabisha?

Na yasemekana KITU chako ,...
... ukikifanya kivyako,..
... hutoka stereo zaidi kijinsi hata ukipakuavyo kuliko cha kujifunza kutoka kwa MAGWIJI wengine!:-(


Swali zaidi:
  • Kwani unauhakika NI KWELI ukijifunza kutoka kwa mtu UPAKUAJI wako shughuli utafanana na wa mwingine mtu?

Ni wazo tu hili Mheshimiwa!
SIKU NJEMA!

Hebu Daniel Nascimento arudie - Corno manso $ Semba Pesadoo




Danny L akatizie kwa - Kissonde


Au tu tukapate tena  Afro house kutoka kwa DJ maarufu Angola-Dj Matako

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP