Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ndio....JARIBU TENA,....

>> Thursday, May 26, 2011

.... siri ya MAFANIKIO moja wapo ni,....
..... kujaribu na kujaribu tena na TENA!




Swali:
  • Si unajua hata waitwao MAJINIASI  walichofanya mpaka kikawapa sifa za kuwa WANAAKILI SANA ni kutokata tamaa na KUJARIBU tena na tena hasa kwa kuwa katika kila kushindwa kuna FUNZO la kitu?
Ndio,...
.... kuanzia kublogu kwako mpaka kwenye MAHUSIANO YAKO na LIMPENZI lako,....
....labda ili kufanikiwa basi usikate tamaa wala KUACHIA njiani!:-(


Tunakumbushana tu MHESHIMIWA na ni wazo tu hili Kingunge!:-(




Hebu African Jazz Pioneers  wanzishe na - Yeka Yeka



African Jazz Pioneers  waongezee dozi kwa - Br Ntemi's Kwela


Au tu hebu twende ETHIOPIA ili  Wudasse Band african Jazz
Teferi Assefa-Drums,
Jorga Mesfin-Sax,
Fasil Wuhib-Bass,
Ahsa Alah-percussion,
na Dale Sanders.

....walete kitu -Ete Mete








Kabla NUJABES hawajahamishia swala kwenye-Counting STARS


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:29 pm  

Simon! hakika umenena Kukata TAMAA katika maisha si kitu kizuri kabisa kinachopaswa ni KUJARIBU TENA NA TENA na mwisho wa siku, saa, sekunde, au labda mwaka utapata kile unachokitafuta. Ahsante kama umegundua na kuliwaza hili leo.:-)

Rachel Siwa 7:21 pm  

Ndiyo kaka Kitururu jaribu Tena na Tena!!Hatua moja huanza na nyine!!.

Simon Kitururu 11:08 am  

@Rachel na Yasinta: Kweli kabisa ukikata tamaa ndio imetoka hiyo!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP