YA DUNIA: Foreign ACCENT Syndrome aka Umelala una lafudhi ya KILUGURU umeamka lafudhi ya KIHAYA!
>> Saturday, May 07, 2011
Deku....
Mmmh!
Haya bwana tuendelee....
Kabla hajaendelea na SHUGHULI ZETU za kila siku za kusaka UGALI ,...
... nakiri ukikutana na mimi Simon Kitururu na saundi Kichina au hata KIZANZIBAR ujue nafeki hiyo LAFUDHI na labda kuna dili tu nalivizia na usishangae ikawa ni demu tu la Kichina au Kizanzibari nimestukia linazinguka na accent yangu HIYO nikiimwaga KICHINA!:-(
TUKO PAMOJA !
JUMAMOSI NJEMA Mheshimiwa!
4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Nasikitika, Mkuu Simon, kutangaza kwamba hata kampyuta yangu imeambukizwa ugonjwa huo, sio utani.
Nimejaribu mara nyingi kusikiliza hizo video za Youtube kuhusu SYNDROME hiyo, basi lidubwasha langu hili likagoma kabisa pia na kuanza kuongea ACCENT za ndugu zetu bubu kabisa!
Kwa hiyo nami ni shahidi kwamba ugonjwa huyo FOREIGN ACCENT SYNDROME upo kabisa!
Ya dunia Bwana acha kabisa, ila inanifanya nifikirie na ya MBINGUNI.
Mara baada ya kuzungumza jambo hili hapa http://mtayarishaji.blogspot.com/2011/05/majibu-yafanyayo-kazi-mtakatifukwa.html.
Fikiria na wanenao kwa lugha kwa kisingizio kuwa roho kawashukia. FOREIGN ACCENT SYNDROME hapo napo ipo!!
Nimeshindwa kuiweka vizuri, ila nawatakia sabato njema wote. AMANI.
N'shakufahamu eehh,nimekupata wangu,nimekuelewa kaka Kitururu!!!!
@Mkuu Goodman:Pole kwa kusumbuliwa na Youtube video!
@Rasta Mcharia: Sabato ilikuwa njema Mkuu na nahisi labda nikutokana na baraka zako!
Na swala la kunena kwa lugha mie lanizingua kweli bado labda kwa kuwa mie sijafanikiwa bado talanta hiyo halafu mie mtomaso kwa hiyo kuamini amini fulu kukanyaga breki na sio accelerator!
@Rachel:
NI siri lakini hii Rachel na usimwambie mtu!:-)
Post a Comment