Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda MTU ana ADUI kwa kuwa ANAHITAJI adui!:-(

>> Friday, May 20, 2011


Na kama umefanikiwa,...
.... labda SHUKURU  maadui PIA kwa kuwa ,...

... MARAFIKI  wakupendao labda hata kama ufanyacho  ni MAGIMBI ya KUCHEMSHA kwenye UKE  na wajuacho  ni kuwa unapenda CHIPSI DUME aka Mihogo ya KUKAANGA,...
.... wanaweza wakakushangilia ukila MAGIMBI kama vile unakula CHIPSI dume kwenye ya uke!:-(

Swali:
  • Kwani hujawahi KUFIKIRIA labda MREMBO ambaye kwako ni MREMBO labda alishawahi  kujikuta anajituma zaidi kuwa msafi KIKUNUKIA VIZURI  kisa kuna MAHEITA alistukia washaanza kuchombeza kwa pembeni ananukia kimkojomkojo?

Samahani hili ni wazo tu na ,...


....kabla hatujaacha kabisa:

....au angalau kutembelea mtaa huu uitwao SWAHILI  STREET?
...bila kusahau PALE kijiweni  kwa SIMBA DEO aka KAKA S?...


... NDIO,...
...hivyo vijiwe nunishibisha pia kisahani bonge la SINIA!:-(



NIMEACHA!:-(



Basi bwana tuache tu kabisa ili turudi MIAMI ule upande wa WAKYUBA ili Gloria Estefan akumbushie- Rhythm is Gonna Get You




Au tu Celine Dion aingilie wimbo wa Gloria Estefan katika-Conga


Sijui kwanini lakini hebu tu na FELA KUTI aingizie ndude aimbaye kuhusu MAMA YAKE baada ya MAMA YAKE kuuawa na wanajeshi kisa hawapendi asemayo kwenye nyimbo zake katika-Unknown Soldier

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP