Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KIUNGANISHACHO watu WAWILI kwa kuwa sio GUNDI,...

>> Tuesday, May 31, 2011

..... kwa hiyo yawezekana kifanyacho kuna baadhi ya watu hapa DUNIANI ukonao karibu hata KINDUGU, kirafiki, na hata kimapenzi,....
.... ni JITIHADA ZAKO TU!

Swali:
  • SI unakumbuka BINADAMU hata wale MAPACHA huzaliwa mmojammoja KIPEKEE na kwa kawaida hufa pia mmojammoja na kwa muda tofauti angalau hata kidakika na sekunde kivyao na KIPEKEE?

Ndio,...
.... labda ukiacha KUJITAHIDI kuwa karibu na MTU,....
..... hakuna aliye karibu nawe kwa sababu kila MTU amini usiamini ,...
.... ana YAKE mwenyewe PEKEE hata wakati afanyacho huonekana kuegemea kwa ya WENGINE!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(



Hebu ASWAD waingilie kati kwa-Need Your Love




Aswad waendeleze kwa -Don't Turn Around


Au tu Aswad wamalizie kwa - Hooked on you

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP