Mawazo nayo labda yanaweza kuugua hata mpaka UKIMWI aisee!:-(
>> Sunday, May 15, 2011
Na mawazo ya mtu yakiugua,...
...... ANACHOWAZA mtu kinaweza kuwa kiwazo kina bONGE la UTAPIAMLO!:-(
Swali:
- Hujastukia labda KIWAZWACHO na mdada msagaji labda nacho kinaambukiza jinsi mdada msagaji anavyo SAGA?
- Na si labda wakati RAIS wa TANZANIA mawazo yake yanaugua labda anachokiwaza ndicho anakitekeleza na sio ANACHOSEMA ndicho anakitekeleza kitu ambacho kina fanya yatekelezwayo hayana msaada kwa mlala hoi kwa kuwa katika kuugua labda moja ya wazo lake ni marupurupu ya WABUNGE na sio marupurupu ya walalahoi ambao wamefikia kuona mpaka WALI na COCAcola ni bonge la dili na ni vitu viliwavyo wageni wakija tu nyumbani jumapili?
- Na si unakumbuka UKIMWI sio UGONJWA na ndio maana wenye UKIMWI hufa kwa magonjwa mengine?
MAWAZO !
Wee acha tu na ,...
...LABDA shukuru hujui aliyeko pembeni yako anawaza NINI!:-(
Ndio,...
... hili ni wazo tu MHESHIMIWA!
JUMAPILI NJEMA MKUU!
Hebu Lord NELSON aurudi wimbo-AIDS
Lord Kitchener azidi kuchezea sehemusehemu kwa - Take You Meat Out Me Rice
Au tu nitafutwe kwa msaada wa PETER TOSH abadiliye kabisa wazo katika-Wanted Dread & Alive
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Haki ya nani ungejua aliye karibu yako anawaza nini sijui ingekuwaje. Ahsante sana kwa wazo maana inafanyisha nami niwaze kitu kingine....JUMAPILI NJEMA NAWE PIA:-)
MH!
@Da YAsinta: Asante!
@Rasta Mcharia: Mmmh!
Post a Comment