Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mawazo nayo labda yanaweza kuugua hata mpaka UKIMWI aisee!:-(

>> Sunday, May 15, 2011

Na  mawazo ya mtu yakiugua,...
...... ANACHOWAZA mtu  kinaweza kuwa kiwazo  kina bONGE la UTAPIAMLO!:-(

Swali:
  • Hujastukia labda KIWAZWACHO na mdada msagaji  labda nacho kinaambukiza jinsi mdada msagaji anavyo SAGA?
  • Na si labda wakati RAIS wa TANZANIA mawazo yake yanaugua  labda anachokiwaza ndicho anakitekeleza na sio  ANACHOSEMA ndicho anakitekeleza kitu ambacho kina fanya yatekelezwayo hayana msaada kwa mlala hoi kwa kuwa  katika kuugua labda moja ya wazo lake ni marupurupu ya WABUNGE na sio marupurupu ya walalahoi ambao wamefikia kuona mpaka WALI na COCAcola ni bonge la dili na ni vitu  viliwavyo wageni wakija tu nyumbani jumapili?
  • Na si unakumbuka UKIMWI sio UGONJWA na ndio maana wenye UKIMWI hufa kwa magonjwa mengine?

MAWAZO !
Wee acha tu  na  ,...
...LABDA shukuru hujui aliyeko pembeni yako anawaza NINI!:-(


Ndio,...
... hili ni wazo tu MHESHIMIWA!
JUMAPILI NJEMA MKUU!


Hebu Lord NELSON aurudi  wimbo-AIDS





Lord Kitchener arudishe mapenzi makaburini katika - Love in De Cemetary




Lord Kitchener azidi kuchezea sehemusehemu kwa - Take You Meat Out Me Rice



Au tu nitafutwe kwa msaada wa PETER TOSH abadiliye kabisa wazo katika-Wanted Dread & Alive


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:41 pm  

Haki ya nani ungejua aliye karibu yako anawaza nini sijui ingekuwaje. Ahsante sana kwa wazo maana inafanyisha nami niwaze kitu kingine....JUMAPILI NJEMA NAWE PIA:-)

Unknown 7:49 am  

MH!

Simon Kitururu 10:35 am  

@Da YAsinta: Asante!
@Rasta Mcharia: Mmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP