Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UJANJA kwa WENGINE ni ule wa KUKUKIMBIA wakistukia UMEKWAMA.

>> Monday, May 30, 2011

Na kitu kizuri ni kwamba,...
....

Swali:
  • SI unajua hapa DUNIANI hakuna akwamaye kwa kuwa  hata nukta ni MWANZO wa sentensi NYINGINE,...
...hasa ukiamua  kutokwamishwa na NUKTA?

Ndio,...
..... akukimbiaye,...
.... huyo kakupunguzia MZIGO.:-(
Swali:
  • AU?

Ni wazo tu hilli BINGWA!:-(

Na hebu Jabu Khanyile arudie - Umkhaya lo



Au hebu  tu James BROWN aingilie kati,...

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:20 pm  

nanukuu "Ndio,...
..... akukimbiaye,...
.... huyo kakupunguzia MZIGO.:-(" mwisho wa kunukuu... Mimi sijui kama nakubaliana na hili kwani kama sijui nini alitaka kwangu kwanini uwe mzigo?

Malkiory Matiya 2:36 pm  

Mkuu Kitururu sijakumbia! na wala sina jeuri ya kukukimbia.

emu-three 3:44 pm  

Duh! Mkuu tungo tata hiyo, hebu sema tena!

hansom 12:32 am  

Nzuri hii aka nimeipenda si vibaya nikiiweka huku wanaowapunguzia wenzao ushuzi waone, teh teh teh...

Rachel Siwa 12:43 pm  

Na huko aendako wakikwama atakimbilia wapi?Ujanja ni kuvulia ipo siku itatoka tena na [nikikwamuka] duhh hikisijui ni kiswahili au? nikifanikiwa ataweka wapi Uso wake?Lakini kuna watu wakavu jamani anaweza kurudi na visingizio vingiiiiiiiiii!!!

Simon Kitururu 2:23 pm  

@Yasinta:Mmmh!

@Mkuu Malkiory:Mkuu tuko Pamoja sana tu!
@Mkuu M3:Utata uana utamu wake lakini!:-)


@Mkuu Hansom: :-)

Simon Kitururu 2:23 pm  

@Rachel: Ni kweli kabisa usemayo!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP