Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Neno la leo kutoka kwa Brian Tracy!

>> Tuesday, May 24, 2011

Kuhusu woga wa kushindwa...



Kuhusu wewe ni nani....

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 2:51 pm  

Wow, homeboy, hilo darasa ni bab kubwa...mmh, unavyowaza ndivyo iwavyo, na ndivyo ilivyo...au sio?
Mimi nikajiwazia hivi, kuwa mimi ni raisi,mmmh, nikakumbuka zile ndoto za Alinacha...KWELI? mHHH, NAWAZA TU, Nikakumbuka kile kisa cha Alinacha, kisa kizuri kile, nani alikisoma?Nikawaza kama vile, ..kama vile...hata kama sio sawa na kile, ila niwazavyo kuwa ni sawa na kile, hebu niwaze...
Alinacha, kapata kamtaji..kanunua vyombo vya viyoo...`very delicate' Kaweka kapu la vyombo barabarani akisubiri wateja..
Akawa anawaza nikiviuza hivi vyombo, nitapata pesa kadha, nitanunua vingine, nitaviuza nitapata pesa kadha zaidi ya za mwanzo..mwishowe nitatajirika, ...halafu nitamtaka mtoto wa raisi....mmmh, kwasababu ni tairi atanikubalia, au sio...nitamuoa, kwasabaabu ni mtoto wa raisi lazima atakuwa na kiburi,...!
Kwasababu mimi ni tajiri, sina wasiwasi, akiltea kiburi sitamkopesha sitambembeleza, nitamkanya kwa mara ya kwanza, akileta nyodo, nitampiga makofi, na akizidi nitamtia mateke...oooh,
Alinacha kwa midadi akalipiga teke lile kapu lililo na vyombo vya viyoovikavunjika vyooote...akabakia na umasikini wake!
Ni hayo tu mkuu, nilikuwa nanyumbulisha kisa nikiwaza, uwazavyo ndivyo ulivyo, au ndivyo iwavyo...Nawaza mkuu! TUPO PAMOJA

Simon Kitururu 7:35 am  

@Mkuu M#: DUH hiki kisa cha ALINACHA nacho kinafunzo lake aisee!

DUH! Ngojea nikitafakari!

Goodman Manyanya Phiri 6:31 am  

Maisha ya sisi binadamu ni sawa tu na maisha ya wimbi. Mara sisi ni wadogo hatunamaana yoyote ile bali tunatikiswa pia na kutawaliwa na oga wetu.


Mara tunashtukia hatuogopi kitu hata kifo na hatujui ilikuja kujane.


Nikiwa na maana: hata ikisaidia kutumia mbinu zake Bw. Tracy kuondoa oga, wakati mwingine oga ndio Bwana kwako, Mungu kabisa...na hapo huna lakufanya!

[The fear...is the beginning of wisdom]

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP