UTAMBULISHO : M. K. ASANTE Jr
>> Wednesday, May 04, 2011
KIJANA HUYU anaweza kukuamsha kitu FIKIRANI ,...
Achokoze kwa : THE BLACK CANDLE
Utambulisho:
Whether you wear a bow tie or not has nothing to do with your intellectual rigor.
-M.K. Asante
© Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008
Back to TOP
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Simon, nilikuwa sijui chchote kuhusu hiyo siku kuu yenye jina “Kwanza” huko ng’ambo na baada ya kumsikiliza huyo jamaa nami nikaGOOGLE kidogo zaidi. Nimefurahi sana kusoma hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Kwanzaa kwamba
MAULANA KARENGA...SAID HIS GOAL WAS TO "GIVE BLACKS AN ALTERNATIVE TO THE EXISTING HOLIDAY AND GIVE BLACKS AN OPPORTUNITY TO CELEBRATE THEMSELVES AND HISTORY, RATHER THAN SIMPLY IMITATE THE PRACTICE OF THE DOMINANT SOCIETY." THE NAME KWANZAA DERIVES FROM THE SWAHILI PHRASE MATUNDA YA KWANZA, MEANING FIRST FRUITS OF THE HARVEST. THE CHOICE OF SWAHILI, AN EAST AFRICAN LANGUAGE, REFLECTS ITS STATUS AS A SYMBOL OF PAN-AFRICANISM, ESPECIALLY IN THE 1960S.
Nje ya tundu kidogo, aisee! Leo ni siku yangu ya kuzaliwa; na nakuomba utembelee (nakujiunga pia na) blogu yangu mpya http://ninaewapenda.blogspot.com/
Humu najaribu kuelewesha watu ukaribu walugha zetu (Kiswahili na Siswati/Isizulu/Isixhosa). Labda siku moja karibu tutakuwa na siku ya Kwanza kote barani Africa pamoja na wenzetu huko DIASPORA!
Pia najaribu niwapate wanablogu wenzangu kama wewe hapo tuwape watoto washule mawaidha ya kufaulu shuleni... mtaalam hapa hamna... na kila mmoja wetu anatoa mawazo yake kusudi Afrika isonge mbele!
Nakushukuru!
@Mkuu Goodman: Kheri ya siku ya KUZALIWA MKUU!
Ngojea chapuchapu niende huko :
http://ninaewapenda.blogspot.com/
Post a Comment