Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa akina MAMA!

>> Sunday, May 08, 2011

 HONGERENI na  asanteni kwa YOTE!



Spice Girls waanzishe - Mama


2PAC aendelee na -Dear Mama




Tilda atulize kwa - Sweet Mother




Au tu na Sizzla amalizie tu kwa - Thank You Mama

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:37 pm  

Hongereni sana akina mama kwa siku yenu. Na pia nachukua nafasi hii kumshukuru mama yangu pia nakupenda mama na nitakukumbuka milele. Ustarehe kwa amani.

Rachel Siwa 2:56 pm  

Hongera MAMA Kitururu kwa kutuletea huyu SIMON KITURURU!Pia na kima MAMA WOTE!!!!!!

Yasinta Ngonyani 5:08 pm  

Rachel, hakika umenena kweli penye wengi kuna mengi nimependa hiyo PONGEZI YAKO KWA MAMA KITURURU:-)

Simon Kitururu 8:58 am  

@Nangonyani + Rachel: Asanteni wajameni kwa yote mpaka kwa kutoacha kunitembelea hapa kijiweni!


Na kwenu kwa kuwa wote ni MAMA wenye totoz.HONGERENI sana!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP