Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo katika KISWANGLISH: The devil is in the details/Kwa JUUJUU noma ,...

>> Saturday, May 28, 2011

....na  kama mjanja cheki vipengele!:-(


NDIO,....
....kuanzia SHERIA za NCHI kama TANZANIA,..
... katiba ya CHAMA cha MAPINDUZI,...
... kitabu cha HADITHI chenye BONGE la JINA ZURI lenye kichwa cha habari kama MAHINDI ya kuchoma matamu kwa mpenda MAHINDI ya KUCHOMA ,...
..... au mpaka HATA ya kwenye uzuri wa BINTI KHALUFANI aliye MREMBO kwa nje na pia kwa KUNEMA hawezekani,...


..... labda janja ya NDUDE  ni kukorokochoa ndani kuna nini,...
... ndio utastukia ni kwanini HATA UJAMAA ambao SIKIONI kuusikiliza hasa  NYERERE akiuongelea ni MTAMU lakini VIJIJI VYA UJAMAA kwishnei.:-(

Swali:
  • Na si unakumbuka hata MKATABA ambao kwa JUU unaonekana ni MZURI na akuuziaye huo MKATABA anausifia kwa mazuri kama mjanja USIUSAINI kabla haujausoma vipengele vyake vinakubania wapi kwa kuwa kibano chaweza kuwa kiko kwenye DETAILS?
  • Na si unakumbuka UGUMU wa BIBLE hauko juu kwenye TITLE  -ze BIBULIA aka KITABU kitakatifu kwa kuwa  mikoroganyo yote ifanyayo DUNIANI kuna fulu vere mene KANISAZ- ni DETAILS kwa ndani ya ze KITABU?

Aisee it is very NANIHII hizi ndude  DETAILS bwana kwa kuwa ,...
.... hata kwenye SINDIMBA kabla hujaona unenguaji ,...
...ze kukimbilia mwenye tako kubwa is not always ni siri kuwa umegeti ZE WINNER katika kunengua mikatiko KISINDIMBASINDIMBA  kwa kuwa,...
..... ze DETAILS kimnenguo katika SINDIMBA labda sio UKUBWA wa KALIO kama toto SANGARA WAMO,...
....lakini hata kiuno kama detail halina!:-(

Swali:
  • Is U kunielewa YES?
Ndio,..
... hata siri ya UTAMU wa PILAU msibani ,...
... iko kwenye DETAILS na usishangae moja ya DETAIL ikawa ni ukubwa wa SINIA:-(


Swali:
  • Kwani umeshawahi kujiuliza kama CHAKULA pekee na utamu wake ingekuwa ni kitu kitoshacho ni kwanini watu hutaka kuwa na VYOMBO vizuri mezani? ...-Samahani MKEKANI?

NI wazo tu hili MHESHIMIWA ingawa ni lenye KIBIONGO halafu fulu utapiamlo kikushikilia HOJA !:-(
Jumamosi NJEMA KAMANDA!:-)




Hebu Red Rat aingilie kati kwa kitu-Dwayne




Buju Banton aingilie kati wakati RED RAT analamika ndani ya -Love dem bad



Au tu hebu  BUJU BANTON asawazishe peke yake kwa ndude-Hush BABY hush


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 9:42 pm  

Na kweli! Wakisema wewe ni "mtu mzuri", nawe jiulize "kwa kipengele gani?"... "Do not ASSuME or else you will make an 'ASS-' of '-U-' and '-ME'"

Uleule uzuri wako kwa wao; utakuwa ubaya kwa wengine!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP