Mkuu MALKIORY MATIYA kahama nyumba aisee!
>> Saturday, May 14, 2011
Kahama HUKU ,...
... na sasa yuko hapa:
Ndio,...
.....tunafahamishana tu na hili MHESHIMIWA!
Au basi bwana sasa tufanyeje hebu tu twende tu HAITI kukutana na Tabou COMBO ila kabla ya kukutana naye huyo Zekle waanzishe vita hapa hapa HAITI kwa - San Mele
Carimi wamwage ulimbo adakwe mtu hapa HAITI kwa - I Wanna Be
Wyclef Jean aanzishe ili Tabou Combo aingie kazini ....
Tabou Combo atekenyaye jumamosi yangu leo aendelee kunyuka- Mabouya
Adinye ndude New York City- na ndio wimbo wake huu NEW YORK CITY alioudinya mwaka 1975 baada ya kukimbia HAITI kikimbizi ulichati mpaka Ufaransa mwaka huo namba one kwenye Pop Chart kitu ambacho kilishangaza wakware mwaka huo wkati kwenye wimbo akilalamikia matatizo yalowakuta wakimbizi wa HAITI kama yeye New York City -
Ndio mie na udhaifu na ZOUK , KOMPA , Mdundiko,....na ma KADANCE kama staili za miziki na nahisi kama unanitembelea hapa kijiweni nahisi ushastukia hilo .
Na BONGO FLEVA inapanda pia mkuu na USITISHIKE!:-(
Hebu niache longolongo ili AFRICANDO waniamishe kutoka kwa anipandishaye mzuka leo Tabou COMBO nawadinye tu KISENEGALI kitu -Aicha
Ndio,...
... na bia/kilaji MKONONI sasa hivi tayari huku nikijaribu kujikumbusha POMBE SI CHAI kama ulikuwa unajiuliza hilo MHESHIMIWA !:-(
CHEERS!
Nakutakia WIKIENDI mwanana KINGUNGE na samahani mzuka wangu leo uko HAITI!:-(
4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Tunashukuru kwa kutuhabarisha tena. Blogspot walikuwa wanazingua nikashindwa kumbadili kutoka kwenye mtandao wa zamani kuja mpya
@Mkuu CHIB: Kweli Blogger kwa siku kadhaa imekuwa inafanya kazi kama SERIKALI ya TANZANIA hivi! Fulu mizinguo!:-(
Ahsante kwa kutuhabarisha... ila nilishabadili kwenye blog list yangu:-) wikiendi njema kwako pia mwana wa KITURURU!!
Asante sana ndugu zangu kwa kukubali madiliko.
Post a Comment