Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MISINGI ya MWANABIBI ya anachoamini LABDA ni KWELI ni IMANI tu!

>> Tuesday, May 17, 2011

Na ya imani ,...
....KWA BAHATI MBAYA ,...
.....inajulikana  kuwa huwa hayahitaji UKWELI ili YAAMINIKE!:-(

Swali:
  • Si UKWELI na KINACHOAMINIWA labda havina UHUSIANO hata kama msabato wa KILOKOLE  kiislamu?

Na labda KITU ni KWELI tu,....
... kama UMEAMINI!:-(

Na labda ukiamini tu,...
... hata CHAUONGO hicho kwako  LABDA kishakuwa ni UKWELI  kama kilivyo kuwa ni ukweli kwa MWANABIBI hata bila ushahidi kwa kuwa tuongeleacho hapa ni IMANI na wewe UMEAMINI!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA !
JUMANNE NJEMA MHESHIMIWA!





Hebu Maurice Kirya alainishe kwa kurudia -Boda Boda



Eric Clapton alainishe zaidi kwa kujazzifai -LAYLA




Au tu BOB MARLEY aongezee ugumu katika hoja tena kwa -Redemption Song


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 2:13 pm  

Kitu kikishakuwa ni imani ukaamini hata kama sio kweli wewe utaamini tu. Shukurani mkuu TUPO PAMOJA DAIMA

Rachel Siwa 11:06 pm  

Asante kaka kwa wazo la leo,Imani inaponya na Imani inauwa!!kwasababu nami naamini kuingia hapa napata faraja na kujifunza basi nilikumisi kaka!!

Simon Kitururu 1:42 pm  

@M3: Imani kitu cha ajabu sana!

@Da Rachel: Kweli imani inanguvu zake jamani na ndio maana kuna waaminio mpaka MIGOMBA na ukiwauliza watakuambia MIGOMBA huwa inawajibu na kuna waponao kwa kuomba migomba kama tu waponao kwa kikombe cha BABU wa LOLIONDO!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP