Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MAHARAGE hata yaungwe vipi na MPISHI ambaye hatayakojolea kidogo kiupishi LABDA bado hayo ni MAHARAGE TU aisee!:-(

>> Sunday, May 15, 2011

Na  hata kama anyaye,...
.... anakunya KISTAILI ,...

... labda  KUNYA ni KUNYA tu aisee hata kama anyaye ni MALAIKA!:-(


Swali:
  • Kwani unafikiri KUDHARAULIWA hata KISTAILI  kwa ajuaye kudharauliwa MTU,.... huyo mtu UNAFIKIRI hatajua amchekeaye MWENYE DHARAU  anamdharau?

Ndio,...
... labda MREMBO mwenye sura MBAYA  hata yule ambaye AFIKIRIAYE  chupi yake haijawahi kunuka kimkojomkojo  hata AJIREMBE VIPI kwa aaminiye MWENYE SURA MBAYA anasura mbaya  bado wakati anazinguliwa na VIPODOZI vya kimwana sura mbaya aliye jipodoa ,...
... ukweli kwake utabakia kuwa SURA mbaya ni SURA MBAYA tu hata ijambiwe poda, wanja AU TU  na nakadhalika KADHAA!:-(



Ni wazo tu na hii labda sio kweli TUPU Mheshimiwa!:-(


Hebu Grammacks wabadili wazo kimtindo CADANCE  kwa nyundo-Wooey MI de BA



Grammacks wadinye tu zaidi kadance katika kitekenya kwapa -  Disco life/OH Afrika




Au tu PEPE KALLE asigine tu jivu kwenye kifundo cha kipisi kwa-HIDAYA

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 2:28 am  

Hivi kweli kwanini sisi binadamu tunaridhishwa na vitu bandia, tena ARTIFICIAL kama vipodozi?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP