Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TANGAZO: Blogu mpya kwa jina ``KONA YA MATUKIO´´ iko hewani!

>> Thursday, May 12, 2011




Tunapenda kulitambulisha wadau wote  libeneke jipya la KONA YA MATUKIO  ambapo nia na lengo kubwa ni kuleta matukio yanayotokea kila siku katika Jamii yetu na Duniani kwa Ujumla..pia kutakuwa na Matukio ya papo kwa hapo yani Breaking News Endelea kuwepo kila muda kujua nini kitatokea
Kama unatukio la aina yoyote tutumie kupitia tonemultimediacoltd@yahoo.com karibuni nyote na asanteni kwa kututembelea.


Pamoja Tunaweza!
-Tone Multimedia co ltd



Jina la blogu ni : KONA YA MATUKIO

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:03 pm  

Karibuni sana katika ulimwengu wa kublog. PAMOJA DAIMA:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP