Binadamu hujulikana kwa uwezo wake wa KUDANGANYA binadamu wenzie!
>> Saturday, May 14, 2011
Na BINADAMU hujulikana pia kwa kusema UKWELI pia.
Kitu ambacho kinafanya LABDA ilikujua nani anasema UKWELI na nani ANADANGANYA,....
.... inatakiwa ujue UKWELI ni upi!:-(Swali:
- Si umeshastukia ilivyovigumu kwa BINADAMU na udhaifu wake wa KIBINADAMU kujua ukweli ni upi kwa hata ya KIBINADAMU ambayo labda inabidi amsingizie au kuomba msaada wa MUNGU?
Ndio,...
.... BINADAMU hujulikana pia kwa kukosa UHAKIKA!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(
Hebu Felix Liberty aanzishe upya kwa-Ifeoma
Bunny Mack asawazishe kwa - My Sweety My Sugar
Au tu Wagadu Gu warudishe - Easy Dancing
Kabla ABETI MASIKINI hajaziba mpanuo tena kwa-Likayabo
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kusema ukweli, ukweli hatuwezi kuujuwa kabisa hadi siku hiyo tutakapopata ukweli tulikujakujaje kuishi duniani hapa kama binadamu.
Hadi siku hiyo basi, ukweli ni ule tu wamtu mwenye uwezo wakuonyesha mantiki ya "ukweli" wake; na wasie kuwa na uwezo au nguvu hizo ndio wanaonekana ndio wadanganyifu.
Nirushu, Mkuu nipanue wazo kidogo, tafadhali!
Uwezo wakuonyesha mantiki ya "ukweli" wamtu hauji tu kwa kuwa mtu anafedha, au anamamlaka fulani.
Mtu anaweza kuwa na "uwezo kutoa ukweli" kutokana na kiwango cha elimu yake, pia kiwango cha UTAMADUNI wake. Na ndio maana hamna silaha kubwa kuliko kumpa mwanao elimu (KNOWLEDGE).
@Mkuu Goodmann:Nakubaliana kabisaaaaaa na uliyosema Mkuu!
Post a Comment