Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kesho ni MWISHO wa DUNIA!

>> Friday, May 20, 2011

Ndio MEI 21 kwa wengine ni imetoka hiyo....
....kama mdundundulizo wa hoja umwagwavyo....





Ni hilo tu MHESHIMIWA na TUNAKUMBUSHANA tu inkesi unahitaji KUTUBU kabla ya KESHO!:-(

Hebu lakini FELA KUTI arudie tu ndude-Shuffering & Shimiling



Au tu hebu tena George Carlin achokonoe-Death

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:45 am  

kama una imani hiyo basi kweli kesho itakuwa mwisho wa dunia....Je kuna kitu ambacho ulitaka kweli kukifanya kabla kesho? basi inabidi ufanya haraka sana kama unaamini ni mwisho wa Dunia kesho:-(

Simon Kitururu 1:51 pm  

@Mrembo Yasinta: Mmmmh!

Yasinta Ngonyani 3:22 pm  

Pouwa uwe na ijumaa njema. ila usifikirie sana kama kesho ndo mwisho wa dunia...kwani kesho ni kesho...

Shaaban Fundi 1:00 pm  

Nashangaa nimeamka mzima!!! au niko ndotoni? Niamsheni jamani. Nilifikiri leo ndo mwisho was dunia. Where are you jesus????? You did not come???? Nimechanganikiwa!!!!!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP