Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwa aliyenuna SASA HIVI!

>> Monday, May 16, 2011

Labda angalau jaribu KUCHEKA KIDOGO basi!

  • SI unajua  UWANUNIAO walio WENGI labda wala hawahusiki na TATIZO likununishalo?

  • Na si unajua KUCHEKA ni DAWA maishani?
  • Na si unakumbuka MAISHA ni mafupi na labda ni mwanana zaidi  kutotumia  muda zaidi katika YATUNUNISHAYO kama kubobea kwenye yatuleteayo FURAHA kuna wezekana hasa kwa kuwa katika maisha ya mtu lazima yapo tu yenye  kutuletea angalau BATASAMU/tabasamu kama  tukiamua kuyasaka hayo kimstukio?

Ndio,...
..... cheka basi KIDOGO au tabasamu basi na utajisikia VIZURI!

Ni hilo TU Mkuu,...
.....  au unataka nije kukutekenya?



Au tu Eric Wainaina na CHIZI warudie tena-Waache waseme


Chizi abakie pekee katika-Sana Sana




Au tu Juliana Kanyomozi na Bushoke wamalizie tu kwa kudai-Usiende Mbali


5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:05 am  

-:(

Simon Kitururu 10:32 am  

@Yasinta: :-(

Yasinta Ngonyani 11:11 am  

Nani kanuna hapa sasa hivi?

Simon Kitururu 11:15 am  

@Mtoto mzuri Yasinta:

Wewe!

Au?

Yasinta Ngonyani 11:21 am  

mmmmhhhh! Kaaaazi kwelikweli!!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP