YA DUNIA:Couple raising 'gender-free' child /TOTOZ kulelewa bila kujuzwa ni MIDUME au MIJIKE mpaka istukie yenyewe!:-(
>> Wednesday, May 25, 2011
MALEZI ya WATOTO nayo wee acha tu !:-(
Hebu twende kusikiliza ya Toronto.....
Mie yangu ni MASIKIO tu kwa jinsi,...
.... MALEZI ya WATOTO yaendeleavyo!
Ingawa inasemekana siri ya mengi hapa DUNIANI,....
....ipo pia katika UKWELI watoto hulelewa TOFAUTITOFAUTI!
BAADAYE BASI MKUU!
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Nafikiri hawa wazazi wamesahau kwamba malezi ya watoto hayatokei nyumbani pekee bali na mazingira ambayo hawa watoto wanalelewa. Hata kama wanasomeshwa nymbani(home schooling) wana nyakati wanapokwenda kwenya parks na michezoni kuweza kusikia...watoto wengine wakitambulishwa kwa jinsia zao. You can't raise kids in total isolation.
@Shaaban: Kweli kabisa Mkuu!
Halafu mimi napinga kufanyia experiment watoto mambo hata kama ni ya malezi ya kubahatisha kama haya!
Hawa wanatufikiria sisi ni wajinga.
Kwa sababu wao wamezaa watoto walemavu (mtoto mwemye viungo visiyoeleweka ni vya kike au vya kiume) sasa wanatutaka nasi TO NEUTRALIZE OUR BABIES!
Utamleaje mtoto wakike bila kumpa mifano ya kuigwa (ROLE MODELS) kwa wanawake wenzake?
Vilevile wa kiume umleeje?
Post a Comment