Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama DUNIA inazunguka basi kila KITU kikuzungukacho KINAZUNGUKA Mkuu!

>> Sunday, May 01, 2011

SI unajua dunia inazunguka ,...
... na kila umuonaye anazunguka 1000Miles/hr,...
...na  kitu kifanyacho usistukie KUWA vyote vituzungukavyo havijasimama mahali PAMOJA ,...
....ni kwa sababu  kila kitu mpaka wewe mwenyewe unazunguka kwa spidi hiyo ya izungukavyo DUNIA.

Tunakumbushana tu HAPA kuwa,...
.....DUNIA , wewe mpaka inzi vinazunguka, kama tu ilivyo hata JUA linazunguka kwenye Galaxy!


DUH!
Nia ya kuingia MTANDAONI leo ilikuwa ni  kukupa  salamu kistaili ya  JUMAPILI NJEMA Mkuu,...
....ila kama kawaida nahisi KUZINGUANA  kabla ya kwenda kwenye SALAMU imo pia!:


Haya MKUU,...
....JUMAPILI NJEMA!

Na moja kwa moja hebu tu Tricky arudishe miondoko ya  Trip Hop na aongelee- Evolution Revolution Love



 Tricky azime tu manyanga kimiondoko ya TRIP HOP akizungumzia- Broken Homes



Kabla  Tricky hajadai  tena kuwa ikibidi   -Bury The Evidence




Sijui kwanini FIZIKIA nilioanzanayo katika kuchokoza hatua za kwenda kwenye kutoa salamu JUMAPILI njema bado inanikuna akilini ,..
....Au tujikumbushe tu zaidi hiki kitu kutoka kwa ujuzi wa wengine ,...
.....cha DUNIA kuzunguka kwa ung'eng'e:



Swali:
  • I am trying to find out the speed of the turning of the Earth.

The Answer

Basic Answer

The circumference of the Earth at the equator is 25,000 miles. The Earth rotates in about 24 hours. Therefore, if you were to hang above the surface of the Earth at the equator without moving, you would see 25,000 miles pass by in 24 hours, at a speed of 25000/24 or just over 1000 miles per hour.

Multiply by cosine of your latitude to see how fast the Earth is rotating where you are.

Earth is also moving around the Sun at about 67,000 miles per hour.



Advanced Answer

If by "turning" you mean the rotation of the Earth about its axis (where axis just means the straight line between the North and South poles) it is quite easy to figure out how fast any part of the Earth's surface is moving.

The Earth rotates once in a few minutes under a day (23 hours 56 minutes 04. 09053 seconds). This is called the sidereal period (which means the period relative to stars). The sidereal period is not exactly equal to a day because by the time the Earth has rotated once, it has also moved a little in its orbit around the Sun, so it has to keep rotating for about another 4 minutes before the Sun seems to be back in the same place in the sky that it was in exactly a day before.

An object on the Earth's equator will travel once around the Earth's circumference (40,075.036 kilometers) each sidereal day. So if you divide that distance by the time taken, you will get the speed. An object at one of the poles has hardly any speed due to the Earth's rotation. (A spot on a rod one centimeter in circumference for example, stuck vertically in the ice exactly at a pole would have a speed of one centimeter per day!). The speed due to rotation at any other point on the Earth can be calculated by multiplying the speed at the equator by the cosine of the latitude of the point. (If you are not familiar with cosines, I wouldn't worry about that now, but if you can find a pocket calculator which has a cosine button you might like to try taking the cosine of your own latitude and multiplying that by the rotation speed at the equator to get your own current speed due to rotation!).

The Earth is doing a lot more than rotating, although that is certainly the motion we notice most, because day follows night as a result. We also orbit the Sun once a year. The circumference of the Earth's orbit is about 940 million kilometers, so if you divide that by the hours in a year you will get our orbital speed in kilometers per hour. We are also moving with the Sun around the center of our galaxy and moving with our galaxy as it drifts through intergalactic space!

Paul Butterworth
and David Palmer for the Ask an Astrophysicist Team

Haya mie naanza KIVYANGU !
BAADAYE!

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Goodman Manyanya Phiri 1:37 am  

Jumapili njema na kwako!

Na hayo mambo uliegusa ndio yakuvutia sana katika sayansi na maisha ya binadamu pia.

Wewe fikiria, tangu uzaliwe mpaka leo, tayari umekwisha changia katika maumbile ya vijukuu vijazo kuishi labda Mwaka 2002011... ikiwa watakuwa na vichwa viwili au watakosa sehemu za siri... lakini umekwishachangia tayari, ingawa mwanzo wa "vichwa viwili" au ukosefu wa "makubwa kwa madogo" kwako bado kujidhihirisha!


Yote ni kutokana na kwamba akili na ubongo wetu kwanzia huyo Adam umekua (DEVELOPED) na kupata tu ule uwezo wa kuyaona madogo madogo na makubwa tusiyaone hata tukijua yapo. IN TERMS OF GALACTIC SPACE AND TIME EACH AND EVERY ONE OF US IS BUT A MOLECULE OF WATER IN A SPRAY FROM A DROPLET HURTLING FROM AN ALIEN'S BUCKETFUL GRAVITATIONALLY PULLED TOWARDS A RENDEZVOUS WITH THE DESINIY CALLED THE OCEAN OF OUR GALAXY...BUT ONLY ONE OF MANY GALAXIES...GROWING AND EXPANDING THEMSELVES CEASELESSLY!

EDNA 2:40 pm  

Jumapili njema kwako pia mkaka.

Anonymous 6:55 pm  

Jumapili njema mkuu. Mimi bado nina kazi ya kumuelewesha kijana wa miaka 4 wangu kuwa dunia inazunguka jua. Hataki kabisa kuliamaini hilo na anauliza mbona sasa mlango hautazami upande mwingine? kila siku unatazama pale pale.
Anachoamini yeye ni kuwa jua ndio linalozunguka dunia maana analiona linachomoza upande mwingine na kuzamia upande mwingine.


Christabell

Unknown 7:52 pm  

Najaribu ku-kalikuleiti tangu nimezaliwa nimezunguka mara ngapi hadi kufikia hivi sasa...naona kalikuleta imezima baada ya namba kuzidi.

Ngoja nimcheki fundi aniazime yake.

Simon Kitururu 12:24 am  

@Wote: Jamani asanteni sana kwa michango yenu na hasa kwa kutonitenga hapa kijiweni jamani! Pamoja sana!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP