Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati labda namfikiria MUNGU kibinadamu!:-(

>> Monday, February 28, 2011

Eee BWANA eeeh!Huyu mdude  mambo zake,...
..... weee acha tu!
Swali:
  • Kwani hujawahi kukwazika na kazi za MUNGU hasa kama moja wapo  ni kutoingilia wafapo maswaiba wako?

  • SI unakumbbuka nawaza tu hapa kabla hujachojoa UKOSOAJI hata kama kwa swali hili unafikiri najihami kwa kuwa kuna neno MUNGU na huna uhakika na jinsi gani nimuogopavyo MUNGU kama wewe?


Mie ngojea niendelee nielewayo ZAIDI  ambayo leo kizaidi anisaidiaye ni FELA KUTI ambaye ngojea aanzishe tena raundi nyingine kwa-Army Arrangement


Aendelee kwa -U BE thief
AFELA KUTI amalizie tu kwa -Teacher Don't teach Me No NonsenseMsalimie shemeji basi kama kwangu kutamka hilo inakusaidia kubadili jazba ya ulicho fikiria mwanzo wa post hii!:-(

Read more...

Nahamu kweli ya kubadili MANENO,...


.... ili LABDA hata kwenye BLOGU hii KAMA SIO KWINGINE  niseme maneno ambayo kwa WAHESHIMIWA kiheshima ni lugha nzuri!:-(

Na labda niongee daima MANENO,...
.... ambayo ni ruksa KUTAMKWA kama waheshimiwa wamejifunza kuwa KUSIKIA hayo ni RUKSA hasa kwa sababu kama unataka KUHESHIMIWA  nitamkayo sio kama ya mheshimiwa aliyonayo wakati anapiga punyeto AMBAYO HAYAPAYUKI  kwa kuwa hadharani afanyacho hakitamkwi na WAHESHIMIWA ingawa labda waliokubuhu kwa hilo ni WAHESHIMIWA HAOHAO  WAHESHIMIWAO KWA MANENO WASIKILIZAO AU WASOMAO WAFIKIRIAYO NI YA HESHIMA hasa kwa kuwa kuna vitu hadharani hawatamki  hata wao na kuna waaminio hicho kitu ndio moja ya kifanyacho wao ni WAHESHIMIWA hasa kwa MANENO  wajifanyao ni watu wazuri!:-(

Swali:
  • SI kuna uwezekano kuna WAHESHIMIWA kwako ambao ni WAHESHIMIWA kwa sababu tu hujui kitu fulani kwa kuwa hujasikia NENO na kifanyacho kwako HAO ni waheshimiwa ni kwa sababu tu ya maneno yao tu wakati kivitendo labda uheshimiwa wao ni kama mavi ya jana tu ya mwendawazimu aliyekula mayai viza?

Ndio,..
... kuna watu wanakidhi tu mahitaji yao YA KUHESHIMU MTU kwa kusikiliza tu MANENO ya mtu ,..
... wakati wangefuatilia zaidi ya maneno ya MTU labda wangeheshimu NGURUWEE zaidi ya MHESHIMIWA asiye bitozi!:-(

Ndio,....
...hili NI WAZO  tu MKUU kwenye neno!:-(Hebu chapchap Youssou N'Dour abadili mkao kwa - Marley
Youssou Ndour akiwa na Morgan Heritage adinye- Don't Walk AwayYoussou N'Dour akiwa na Patrice adinye pia ~Joker
Au tu anyokolishe tu na -Birima

Read more...

Baada ya KUKUMBUSHWA kuna wenye TABIA NZURI tu watu wengine WAKIWEPO

WATU wengine wasipo kuwepo,...
.... kuna wenye JUHUDI!

Na kama kuna WATU WAZURI pale tu wengine wakiwepo,...
.... bado ntatilia MASHAKA zihitajizo tu MASHAHIDI hizo JUHUDI!


Kwa kuwa WATU wana ya faragha pia -kwa hiyo twajua sio lazima  kila kitu  kifanyike watu wengine wakiwepo,...

.... ila inasikitisha kama MTU anabadilika kabisa TABIA kwa madhumuni tu ya kuficha MAKUCHA yake ya TABIA MBAYA kwa madhumuni tu  ya kufanya MABAYA ili asistukiwe na ili tu kuwe na MASHAHIDI watakao mtetea kuwa ni MTU MZURI  kwa JUHUDI!:-(


NIMESIMULIWA na MTU nimuheshimuye kuhusu MTU MWINGINE ni MHESHIMUYE ambaye ni MAMA WA KAMBO ambaye ananyanyasa MTOTO wa KAMBO wakati watu wengine HAWAPO na kujifanya ni MTU MZURI watu wengine wakiwepo!

BADO sijajua la kufanya na USHAHIDI sina na wakati NATAFAKARI HILO nikaamua kuandika tu  HILI hapa wakati najaribu kuamua la kufanya!:-(SAMAHANI bado mambo kibao yananizunguka KICHWANI kuhusu hili!:-(

BAADAYE!


Hebu FELA KUTI ajaribu kubadili filingsi kwa kujaribu kuchakachua hiihii MASANTULA ngoma ya mpwito-Gentleman

Read more...

USHENZI!

Bado naufikiria'....
 ...na sio ni kwa sababu naogopa HADHARANI kutukanwa zaidi ya  SHENZI!:-(!:-(


BAAADAYE basi!:-(BOB Marley adinye tena kabla sijaendelea na mlolomo -U talk tooo muchAu tu Fallou Dieng ahakikishe kitu kwa - Maana

Read more...

Wakati MATATIZO hayaishi na bado na HAMU ya kuyatukana SHENZI kitusi la nguoni MATATIZO yani!:-(

Lakini,....

....kama kuna KITU KIZURI kiwezacho kutoka katika MATATIZO ni ukweli kuwa ,...
.... MATATIZO ndio chanzo cha karibu yote YAITWAYO KAZI au vilivyozalisha KAZI  zipendwazo au zifanyazo kuna baadhi  wanaringa MPAKA utafikiri kama hawaendi haja kubwa vile kwa kuwa ni VIBOSILE  tu MAOFISINI au  pengine tu kwenye WAFANYAKAZI,..
..... kwa kuwa ni kweli ,...

... kama unakwenda KAZINI kunauwezekano KAZI YAKO ni matunda tu ya MATATUZI ya MATATIZO yaliyowahikumsumbua tu MTU FULANI  katika  ya KITU FULANI na katika utatuzi wa hilo  ndio ikazaliwa KAZI YAKO ambayo mpaka leo lengo lake ni kutatua tu TATIZO  fulani  ambalo  kama unafanya kazi kwenye kiwanda cha TISHU ,...
...basi TATIZO la mtu aliyegundua TISHU a.k.a MAKOKONEO wote twajua ilikuwa ni kutatua tatizo la kuchamba bila mheshimiwa kushika mavi.:-(
Kwa hiyo MATATIZO ni siri  ya UTAJIRI kama MTU  atatumia akili kugundua DAWA YA MATATIZO yamsibuyo kwa kuwa,...
.....MATATIZO  yamsibuyo mtu MMOJA yanamchezo wa kuwa ni matatizo ya WENGI  kwa hiyo tatuzi hilo MOJA  linaweza kuwagusa watu wengi sana HATA WASIO NA NYEGE  kitu kiwezacho kuligeuza kuwa bonge la DILI hasa ukiwa na spiriti ya KIJASIRIAMALI kama ya WACHAGA na WAKINGA ya kujiajiri MWENYEWE - kwa kuwa unaweza kujikuta umeanzisha kitu ambacho mwisho wake kimezua bonge la kazi kwa watu wengi huku wewe ndiye KIBOSILE kitu ambacho kitakuwa BOMBA SANA hasa kama unamchezo wakupenda  kuitwa KIBOSILE au angalau kuchekewachekewa BILA SABABU na wajigongao kwa VIBOSILE  ambavyo inasemekana ni baadhi ya vitu VIBOSILE hupata bahati ya kuvigida HASA KWA KUWA KUNA WAJIGONGAO KWA MABOSI - na kwa kuwa kuna VIBOSILE ndude hizo zinawafanya wajisikie wao ni BORA mpaka wengine hujisahau kuwa  chooni hunya tu kama kawaida na wakati wakunya KABLA ya KUJISAIDIA HAJA KUBWA  hujamba vizuri tu mashyuzi  YANAYONUKA TU kama kawaida ya MASHUZI  au  tu kwa kifupi kama matimba a.k.a mavi .:-(


Swali:

  • Si huwa unakumbuka TATIZO lako labda  kuna watu wengi tu  LINAWASUMBUA pia  -kwa hiyo UKIGUNDUA jinsi ya KULITATUA labda maana yake umegundua TATUZI la wengi kitu kiwezacho kugeuza TATUZI LAKO a.k.a SULUHISHO lako kuwa ni bonge la DILI?
  • SI unajua hata waliotatua  TATIZO lao kwa kugundua mafuta ya TRANSFOMA za UMEME yanafaa kupikia CHIPSI MTAANI suluhisho lao HILO limesaidia wakaanga CHIPSI wengi kweli  TANZANIA kutonunua mafuta ya kupikia na kubana matumizi hasa baada ya kustukia UMEME wenyewe wa TANESCO hauwahusu sana huko kwao kwenye vibanda vya MAKOROBOI na pili TRANSFORMER zenyewe za TANESCO   kupitisha kwake kwenyewe UMEME  ni kwa kubahatishabahatisha hasa kwa kuwa UMEME WENYEWE wa TANESCO hata kwa msaada wa shirika mashuhuri la umeme la DOWANS ni vyakubahatishabahatisha kama tu sera za Mchungaji MTIKILA, Mheshimiwa Waziri wa mambo ya ndani MREMA, Papa BENEDICT na Rais Kikwete  kwa ujumla?
DUH nimeacha!:-(
Jumatatu  na KAZI njema MHESHIMIWA -hata kama safari hii bado LABDA HIYO ni  kazi  ya kuosha chupi za KIBOSILE katika kutatua TATIZO la bosi la kuwa chupi yake  sasa hivi ni chafu MHESHIMIWA!:-(

Hebu John Legend & The Roots wakatizie denge shughuli nakurudisha ustaarabu hapa kijiweni kwa - Wake Up Everybody

Erykah Badu aingilie shughuli ghafla kwa - Honey
Au tu Erykah Badu arudie tu tena - Window Seat
Kabla hajazima tu tena manyanga kwa-Didn't Cha Know
Ndio,...
....michezo mingine bado nachezea KANISANI bado!:-(


Read more...

Important News: Be Aware of 'Black in the White House' Virus

>> Sunday, February 27, 2011

Pole Na kazi na za leo kakaa; nlikua na ka news fulani hapa mana imenikumba: 

 

 

 

Important News: Be Aware of 'Black in the White House' Virus


This message warns recipients to watch out for emails with an attachment called "Black in the White House". A later version changes the wording slightly to "Black  in the White House". The message warns that opening the attachment will launch a destructive computer virus that will "burn" the hard drive of the recipient's computer thereby damaging it beyond repair. Supposedly, the virus destroys the "Zero Sector" on the infected computer's hard drive. According to the warning, the virus has been classified as the "most destructive ever" by Microsoft and CNN.

However, the information in the message is untrue. There is no a virus like the one described in the warning. In fact, the warning is just a newer incarnation of an older virus hoax that has circulated for several years. As the following example illustrates, the wording in the message is very similar to the other virus that began circulating back in 2006:
You should be alert during the next days: Do not open any message with an attached filed called "Invitation" regardless of who sent it. It is a virus that opens an Olympic Torch which "burns" the whole hard disc C of your computer. This virus will be received from someone who has your e-mail address in his/her contact list, that is why you should send this e-mail to all your contacts. It is better to receive this message 25 times than to receive the virus and open it.


If you receive a mail called "invitation", though sent by a friend, do not open it and shut down your computer immediately.

This is the worst virus announced by CNN, it has been classified by Microsoft as the most destructive virus ever. This virus was discovered by McAfee yesterday, and there is no repair yet for this kind of virus. This virus simply destroys the Zero Sector of the Hard Disc, where the vital information is kept. SEND THIS E-MAIL TO EVERYONE YOU KNOW, COPY THIS E-MAIL AND SEND IT TO YOUR FRIENDS AND REMEMBER: IF YOU SEND IT TO THEM, YOU WILL BENEFIT ALL OF US

And the "Invitation" hoax is in turn a revamped version of the even older virtual card oax that began circulating as early as the year 2000:
WORST VIRUS EVER --- CNN ANNOUNCED


PLEASE SEND THIS TO EVERYONE ON YOUR CONTACT LIST!! A new virus has just been discovered that has been classified by Microsoft as the most destructive ever. This virus was discovered yesterday afternoon by McAfee . This virus simply destroys Sector Zero from the hard disk, where vital information for its functioning are stored.

This virus acts in the following manner:
It sends itself automatically to all contacts on your list with the title: "A Card for You".

As soon as the supposed virtual card is opened the computer freezes so that the user has to reboot. When the ctrl+alt+ del keys or the reset button are pressed, the virus destroys Sector Zero, thus permanently destroying the hard disk. Yesterday in just a few hours this virus caused panic in New York , according to news broadcast by CNN.

This alert was received by an employee of Microsoft itself. So don't open any mails with subject: "A Virtual Card for You. " As soon as you get the mail, delete it !! Please pass this mail to all of your friends.

Forward this to everyone in your address book. I'm sure most people, like myself, would rather receive this notice 25 times than not at All.


NB: The virus Destroy my Hard Disk too

Read more...

MAISHA!


Hebu DEKU mwenyewe...:-(


Read more...

Kutokana na taarifa zangu mwenyewe za KIINTELIJENSIA- nahamu kweli ya MAHINDI ya KUCHOMA!:-(

Leo tokea niamke nahamu ya MAHINDI ya KUCHOMA ,..
....halafu yale yachomwayo BARABARANI.:-(

Halafu mahindi ya kuchoma ,...
....niyatamaniyo ni yale yachomwayo pembeni ya barabara kwa kuwa kwangu  sijui kwanini huwa napenda ZAIDI mahindi ya kununua pembeni ya  barabara  kuliko ya kuchoma mwenyewe nyumbani!:-(


DUH! Halafu leo ningepata na MAFENESI  nayo baada ya kumalizana na MAHINDI ya kuchoma,...
....halafu yawe ni yale ambayo YAMESHA POKOCHOLEWA kutoka kwenye TUNDA MAMA ili  nisihangaike nayo kuyatoa kwenye FENESI mwenyewe ingekuwa BABU KUBWA  yani!:-(

 DUH au angalau basi nimgepata CHIPSI DUME kwa kachumbari , Juisi ya UKWAJU, madhambaru au angalau MAHINDI ya KUCHEMSHA kama sio yale ya KUCHOMA,...
.....  au angalau nipate TU mua uliokatwakatwa kabisa vipande ingekuwa MURUA kweli yani.:-(Kwa kifupi :

....Niko hapa TALLIN - Estonia nikiwa na bonge la Homesickness na kungekuwa na angalau KIMWANA wa KIBONGO hata wakulipia a.k.a  MALAYA wa KIBONGO - hapa nahisi ningeingia dhambi ya angalau kufikiria au kufanya kabisa kitu  KIMHONGO angalau tufanikishe kufanya dhambi za KUDANGANYANA au hata za MATUSI KABISA angalau  kwa kiswahili  tu katika kujaribu kujisahaulisha nje kuna baridi FRIJI halioni ndani na halihalisi inachangia kutojisikia hatuko HOMU yani :-(
Ee BWANA eeh!
JUMAPILI NJEMA na samahani kama nimekukwaza kwa kuwaza KWANGU NYOKO  hapa KIJIWENI kwa SAUTI!:-(

Na moja kwa moja wakati nawaza TOTOZ za KIBONGO ambazo natarajia hapo mbeleni maishani  KUCHUKUA MMOJA wotewote kama MKE -  ambao  hapa nilipo ni hadimu KWELI kama manyoyanyoya YA KIKUBWA  kwenye kwapa la mtoto - ngojea niendelee kujituliza kwa kusikiliza Jamhuri Jazz Band wakati wanamuongelea mtoto mzuri mwenye -SHINGO ya UPANGAJamhuri Jazz Band wanifikirishe maswala ya kuangalia uwezekano wa  kurudi  SHAMBA katika-Nafikiria Kurudi Shamba

Au tu PATRICK BALISIDYA na AFRO 70 Band waingilie kati tu TENA  mwisho wa wikiendi yetu hii kwa wimbo-WIKIENDI

Bado nipo hata kama kwa mtu mwingine anaweza kufikiri niko kipumbavu! !:-(

Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP