NENO!- hata kama safari hii ni neno ``KUDADEKI´´ kwa kuwa mhusika anaogopa hadharani kutamka NENO alinuialo ambalo ni ``KUMAMAE!´´ :-(
>> Monday, February 14, 2011
NENO,...
.... lapindisha hata WATU ambao kwa kawaida hujulikana kwa MANENO!:-(
NENO,...
..... linamchezo wa kuzaa mpaka VITENDO kama tukichukulia ushahidi wa kuwa LABDA NI KWELI vitendo vingi vilivyofanya hata usiowasikia wakisema NENO kuzaa labda vilianzia kwenye mtongozo ambao ni MANENO :-(
NENO,...
.... kwa lilivyo nishai labda ndio maana kuna wajivuniao wana DINI kisa kwa neno wameaminishwa kuna mpaka MBINGUNI kisa kuna wajanja wamefanikiwa kupenyeza akilini kwa mtu NENO.:-(NENO,...
... ni matusi au tu BARAKA na SALA kutokana na MTU atafsirivyo tu NENO.
NENO,...
.... ni silaha PIA hata ya asiyeweza KUTENDA lakini mwenye MANENO!:-(
NA labda NENO,...
...... ni MUNGU kama ukifikiria NENO.:-(
Swali:
- AU?
NI wazo tu hili MHESHIMIWA hata wewe unihukumuye kwakuwa nimeandika NENO kumamaye!:-(
Jumatatu NJEMA!:-(
Hebu nguli Linton Kwesi Johnson aingilie katikati neno kwa kinu- License Fi Kill
Linton Kwesi Johnson aendele na neno - Ingland Is A Bitch
Au tu Linton Kwesi Johnson azibue tu kitundu pia kwa neno katika - Want Fi Goh Rave
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment