Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hongera Rais Jemadari HOSNI MUBARAK angalau kwa kujaribu KUNG'ANG'ANIA mlo!:-(

>> Sunday, February 13, 2011




Ndio,...
... HONGERA Jemadari MUBARAK,...
... na WOTE NYIE  ambao angalau mnajaribu KUNG'ANG'ANIA kitu  wakati kuna KIBANO katika kitengeneza MLO!:-(





Swali:

  • Si inajulikana MAISHANI kuna wengi wasiojaribu hata kidogo KUNG'ANG'ANIA MLO ndio maana  mpaka NDOA ZAO au  kama tu PIA penzi lao na kimada linakufa kirahisi HARAKA kwa kuwa mng'ang'anio HAKUNA?




Ndio,...
.... kuna wengi  ikiwa kuna UGUMU KIDOGO TU ndio inakuwa sababu ya harakaharaka kuacha KUNG'ANG'ANIA angalau kujaribu  kuendelea kufanyiakazi KITU   kama tu vile ilivyo kwa wengi  WENYE NANIHII nanihii ikiuma tu kidogo wakimbiliavyo kuchomoa mtalimbo ujulikanao kwa FARAJA pia!:-(



Ni MTAZAMO tu huu ndani ya wazo mkweche  MHESHIMIWA na wala USIKONDE!
Jumapili NJEMA!:-(



Na hebu moja kwa moja ROKIA TRAORÉ arudishe ustaarabu kijiweni kwa jiwe-Tounka 




ROKIA TRAORÉ aonyeshe tena maringo yake dingilidingili mpaka chini live kwa
-ZEN



Au tu  Rokia TRAORÉ aendelee tu  na gitaa lake mwaya katika-Mbifo

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

malkiory 11:04 am  

Pongezi za dhati kwa wananchi wa Misri pamoja na Jeshi lao kwa misimo yao imara ulioweza kumn'goa joka pangano mwake.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP