Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

GHAFLA eti ni mwezi FEBRUARI!:-(

>> Tuesday, February 01, 2011



Mwezi wa kwanza umetoweka tayari HIVYO!


Swali:

  • Lakini hivi kwani kuna jipya?



KIKUBWA ni kwamba leo ni siku mpya,...
.... na labda MOJA CHANYA  ni kwamba,....
... leo na MWEZI huu waweza kuwa ndio hasa WAKATI ambao  twaweza kabisaa  kuanza tena UPYA na kwa ubora kabisa!

NAWATAKIENI kila la kheri katika mwezi huu wa PILI katika YOTE CHANYA mjipangiayo!



Hebu basi STING arudie -BRAND NEW DAY

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 11:08 am  

Bado mambo ni yale yale ktk upya unaodhaniwa kuwa ni upya wa siku mwezi au mwaka uliofikiwa.

Simon Kitururu 5:08 pm  

@Mkuu Mcharia: Si utani aisee!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP