Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Na SIFA zimuendee MWANAMKE adanganyaye WANAUME vizuri!

>> Tuesday, February 08, 2011

Tunaishi katika JAMII ambayo ,...
.... ni kawaida AFANYAYE VIZURI ndiye ASIFIWAYE!:-(

Swali:
  • AU?




Kwa kuwa KUDANGANYA kupo katika BINADAMU wajengao JAMII,...
....labda na SIFA zimuendee pia hata MWANAUME adanganyaye WANAWAKE VIZURI.:(



Swali :
  • AU?

Ndio,...
....inasemekana BINADAMU husifia hata watikisao tako vizuri kwa kuwa  ni kawaida kujaji wafanyao VIBAYA na VIZURI hata kama kifanyikacho  sio muhimu kwa wenye matako na labda  pia ni kweli LABDA HAKUNA  HATA atikisaye tako VIBAYA !:-(

Swali:

  • Lakini unafikiri ni LAZIMA  mtu adanganye  HASA tukikumbuka  labda kuna mengi katika sifa za VIZURI na VIBAYA ni uongo katika JAMII?
  • AU?
  •  Na unafikiri  VIBAYA havistahili sifa?






Na sifa ziendee tu  WAHUBIRIO mpaka dini,...
.... kwa kuwa hata katika hao ,...
...ni WADHANIWAO wanahubiri vizuri ndio  HATA kwa kuwa  WAHUSIKA hawastukii wafanyacho NIKUDHANIA tu kuwa ,....
....HAO wanasema kweli,...
.... ingawa labda  ukweli na ``VIZURI ´´ havina uhusiano,...
... ndio  hao ambao WAHESHIMIWA wanaamini  DINI na tafsiri zao za MUNGU na ya MUNGU ndio kweli.:-(



NAWAZA tu MHESHIMIWA!:-(


Hebu TLC wabadili kwa wazo kwa -Diggin' On You



Au tu MISS ELLIOTT azibe tu naye kitobo kwa-SHE is a BITCH

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:49 pm  

Sifa, Hivi kwa nini watu hupenda kuwasifia watu? Na ni kwanini watu wote wasisifiwe?

EDNA 7:58 pm  

Mmmmmh,

Unknown 9:45 am  

Sijui kama inatokea kwa wengine...

MTU MMOJA ALIELEZA:
Lakini mwenzenu huwa ninajisikia kwenda chooni kila ninapokumbwa na jambo la mshituko.

Mshituko wowote ambao unasababishwa na kubambwa na issue fulani (busted), kupokea habari za kusikitisha/kushtusha, au kushindwa kufanikisha mpango fulani ambao nilikuwa nina upa 99% kufanikiwa.

Ninapozungumzia kwenda chooni, sina maana ya kwenda kuuu-kuuu-wee wee

HIYO NAYO NI SIFA ANAYOKUWA NAYO MTU FULANI TOFAUTI NA WEWE, KAMA JINSI ILIVYO WEWE NAYE UNA SIFA ZAKO.

Rachel Siwa 7:11 pm  

Na sifa nyingi hupewa marehemu, yaani mtu akifa,zaidi ya alivyokuwa hai!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP