Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika kujifunza KUSOMA alama za NYAKATI!

>> Wednesday, February 02, 2011

Siku hizi  hili swala la ALAMA za NYAKATI na KUWA upande sahihi wa HISTORIA maarufu kweli!


Makanisani twaambia kwa kusoma alama za nyakati,...
... labda huu ni mwisho wa BIBLIA,....

.... na  kwenye taarifa za habari utasikia wanaoshabikia RAIS MUBARAK wa MISRI wakiambiwa,...
.... hawako upande sahihi wa HISTORIA!


NA utasikia vilevile ALAMA za nyakati zikitajwa na WALEZI wa watoto wakati ulengwao ni UTOVU wa NIDHAMU wa waitwao WATOTO wa SIKU HIZI!:-(


Swali:
  • Hivi ni kweli  kuna kitu kuwa upande SAHIHI wa HISTORIA?
ALAMA za NYAKATI,....
.... na HISTORIA,.....
......!

Naendelea KUWAZA!:-(

BAADAYE Mkuu!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP